Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada...