kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimepima afya Kwa kuitumia BMI calculator na kupata matokeo mazuri sana

    Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo kwa rejea yenu Tujitahidi kupima afya zetu Jumapili njema.
  3. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Majina ya nchi za Kiafrika kabla na baada kupata uhuru.

    Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa. Songa nami. Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957) Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975) Southern Rhodesia → Zimbabwe 🇿🇼 (1980) Portuguese East Africa → Mozambique 🇲🇿 (1975) British East...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    ====== UPDATES ======= Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
  9. Optimists

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli. Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
  10. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto. Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  13. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  15. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

    Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate...
  16. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri zitumie vyanzo hivi vipya kupata kodi endelevu kwa maendeleo ya nchi

    UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
  17. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto. Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
  18. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Ulalamishi kuhusu wabara kupata ardhi Zanzibar

    Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
  19. moja mbili tatu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  20. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Free unlimited internet?

    Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data. Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
Back
Top Bottom