kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  2. JamiiForums Tanzania Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwa vigumu sana kupata tena kocha wa kuifunga Simba goli 5

    Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano. Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5). Nadhani kikosi kazi cha...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe yataka Whatsap Admins kupata leseni na kulipa ada ya laki moja ili kuendesha magroup ya Whatsap

    Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ). kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  10. JamiiForums Tanzania KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

    Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  14. JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukikutana nao tu halafu ukajifanya unaulizia Juice ya Azam au Ice Cream ya Azam tegemea kupata Kipondo kutoka Kwao kwani inawauma sana

    Kinachonishangaza ni kwamba Wengine tumeshazoa Kutaniwa, ila Wao sasa ukiwatania tu wanataka hata Kukupiga.
  15. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata hii spare?

    Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
  16. JamiiForums Tanzania BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 40, naweza kupata mshangazi?!!!

    Au Ili awe mshangazi wako inabidi uwe chini ya miaka mingapi?!!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Trump ana mkwe Mlebanon: Je, itamsaidia kupata kura za Waarabu-Wamarekani?

    Uchaguzi unaoendelea huko Marekani umeonyesha kila aina ya rangi. Wakati wagombea wote wakichuana vikali, na huku ikionekana kuwa kura za waislamu na waarabu katika swing states kama vile michigan zinaweza kuamua nani awe mshindi wa kinyang'anyiro hicho. Wagombea wote "rhetorically" wanaonekana...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata vifaa hivi vya kuunda mabegi?

  20. JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…