kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

    Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya watu hufurahia viongozi, wasanii wanapofariki au kupata misiba?

    Wakuu! Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Leseni ya Duka la Vipodozi

    Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni hii ndiyo itakayo kuthibitishia kisheria kuwa unaruhusiwa kufanya biashara na pia inaleta uaminifu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio mishe nyeusi (black money) unazoweza kupata kibunda cha fasta ila unaweza kupotea haraka

    Kwenda kununua madini Congo - Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi, watu wengi maeneo hayo ni masikini kwa sababu hawana njia bora za kuuza au kusindika madini hayo. Mara nyingi huuza kwa bei ya chini sana kwasababu ya ukosefu wa miundombinu, soko na amani. kwenda utaenda vizuri tu lakini kutoka ni...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Ameir aibuka kinara kwa kupata kura 1,356 - Jimbo la Makunduchi

    WANU AMEIR AIBUKA KINARA KWA KUPATA KURA 1,356 - JIMBO LA MAKUNDUCHI Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Makunduchi ambapo amepata kura 1,356. Wanu amewapita kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Pangani: Juma Aweso kafanyaje hadi kupata kura zote za Wajumbe kila Kata?

    MATOKEO YA AWALI KURA ZA MAONI PANGANI 1):KATA YA MKALAMO 1.Jumaa Aweso- 219 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 2):KATA YA MKWAJA 1.Jumaa Aweso- 248 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 3):KATA YA KIPUMBWI 1.Jumaa Aweso- 414 2.Ramadhan Zuberi-0 3.Mariam Abdalah-0 4):KATA YA MIKINGUNI...
  7. JamiiForums Tanzania Vishoka wanaweza kuharakisha kupata tax clearance kuepuka deni?

    Nilifanya biashara alafu NIKAACHA, almost five years ago Sasa nataka kupata tax clearance certificate haraka ikiwezekana nikwepe ILO deni Je vishoka wanaweza kunisaidia Kama walivyo nisaidia kupata leseni ndani ya siku moja licha ya kuwa Nina mkono mmoja 😁
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

    Wakuu kwema? Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship? NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha) Asanteni^
  9. M

    JamiiForums Tanzania jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata Pancha, kupasukiwa na Mpira (Condom) katikati ya Show. Tukutane hapa

    Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe katikati ya show show?
  11. JamiiForums Tanzania Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

    Sababu ni hizi ☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo. ☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani? ☆ Social...
  13. JamiiForums Tanzania wapi naweza kupata ndege kasuku kwaajili yakukununua kwa hapa Dar

    habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar naomba tuwasiliane pm tafadhari sana.
  14. JamiiForums Tanzania 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  15. JamiiForums Tanzania Kupata gpa ya 5.0-3.5 havard na cambridge ni rahisi kuliko UDSM

    Shalom shalom Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa ikiwa sio kwamba wanafundisha sana la hasha bali kuna miungu watu nasio malecturers. Hata hao...
  16. JamiiForums Tanzania Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  19. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kufanya biashara TZ kama hauna hivi vigezo vya kupata reseni

    1. Kuwa na TIN kutoka TRA Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
  20. JamiiForums Tanzania Chini ya kikwete huwezi kupata CCM imara

    GT Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda. Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…