kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mbatia: Tutegemee Petrol kupanda bei zaidi, haya tunayouziwa Tsh. 2400 P/L yalinunuliwa Aprili

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema bei ya Petrol na Diesel huko duniani inaendelea kupanda na amewataka watanzania kutoshangaa ikiendelea kupaa hapa nchini. Mbatia amesema haya mafuta tunayouziwa Tsh 2400 kwa lita yalinunuliwa mwezi Aprili wakati mafuta hayajapanda bei kwenye soko...
  2. Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Nawasalimu nyote. Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri. Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi. Tanzania tuligundua gas nyingi huko kusini mwa Tanzania. Nashauri serikali ianzishe na kuongeza...
  3. T

    Ni lini waliopandishwa madaraja wanaanza kupokea mishahara mipya?

    Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
  4. S

    Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

    Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo katika mwaka huu wa 2021. Hivyo, ili kuwapa watumishi fursa ya...
  5. Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

    Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani. Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja. Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza. Mtu mumeajiriwa pamoja...
  6. Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
  7. Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
  8. Hivi kutoka kuwa Mkuu wa JKT mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa ni kupanda au kushuka?

    Nimeona Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Je, amepanda au ameshuka?
  9. Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest akaribia kufika kileleni

    Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima...
  10. Ayubu anapata shida kupanda na awamu ya sita, anatia huruma

    Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
  11. Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    MY JOURNEY TO THE ROOF OF AFRICA Kabla ya mwaka kuisha napenda ku share na nyie experience yangu ya kupanda mlima Kilimanjaro nitaambatanisha baadhi ya picha na video za safari yangu yote. Kama kuna watu wamewahi kupanda Mlima Kilimanjaro wanaweza ku share pia uzoefu wao. Kampuni niliyotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…