kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Mafuta na Hatari ya Migomo na Maandamano Nchi Nzima

    Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi. Angalia mwenendo wa bei Dar: Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115 Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248 Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  4. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itaanza lini utekelezaji mpango wa mabasi maalum ya wanafunzi? Wanaathirika na gharama baada ya mafuta kupanda bei

    Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
  5. JamiiForums Tanzania RC Dkt. Batilda Burian aipongeza NEMC kupanda miti 2000 Tanga kuelekea maadhimisho ya miaka 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu. Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kupanda kwa Nauli Njia ya MBEZI-MSUMI, MBEZI-MPIJI MAGOE, MBEZI-MSAKUZI

    Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria atakaye uliza majibu watakayopewa ni kuwa usiku usafiri wa shida gari chache pia barabara za maeneo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa tamko gani juu ya kupanda kwa gharama za gesi na mafuta ya petrol na dizeli? Maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa magumu kila kukicha

    Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini. Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Bei mpya za Mafuta mwezi Mei zatangazwa, Petroli yazidi kupanda hadi 4115, Diseli 4248

  9. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

    Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule. Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbona bei ya mbolea inazidi kupanda kila siku huku Dakawa?

    Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro. Bei ya kawaida...
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi kupanda Daladala ambayo konda na Dereva hawaelewani?

    Ni mara kadhaa nimewahi panda gari konda na dereva wakawa wamepishana kauli hawaelewani wanagombana, ila hii ya leo walizidi. Leo nimepanda daladala kutoka Tegeta kwenda Mwenge, konda na Dereva wakawa wanagombana, ugomvi wao ulianza kabla sijaingia hivyo sijui chanzo hasa cha kupisha kwao...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  16. JamiiForums Tanzania LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile. Suluo ameongeza kuwa nauli zinaweza kupandishwa ikiwa bei ya Mafuta itapanda kwa kiwango kikubwa...
  17. JamiiForums Tanzania LATRA na kupanda kwa nauli

    Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
  18. JamiiForums Tanzania Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya Mafuta na Ripoti ya Chande. Fungua macho Mtanganyika!

    Aweeee, Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa! Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
  19. JamiiForums Tanzania Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja

    Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja, Mshahara tu ndio hautapanda.
  20. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…