Umewahi Kupanda Bus ya Abood ya Dar - Tarime? Pitia hapa

Umewahi Kupanda Bus ya Abood ya Dar - Tarime? Pitia hapa

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
210
Reaction score
344
Kama umewahi kupanda Bus ya Abood Dar - Tarime au Tarime _ Dar
Naomba kujua huduma zao, wapo ontime (wanajali muda)? wanatumia masaa 22 kama walivyoandika kwenye tiketi au ni zaidi ya masaa 22 ya safari?
 
Back
Top Bottom