kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport?

    Wakuu kwema, Naombeni kuuliza nyie wakishua nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport au?🤔
  2. idiomer

    Kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini?

    Hivi kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini? Mada mezani wadau wa elimu?
  3. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  4. Mzee Mwanakijiji

    Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  5. Think2

    Ni aibu kubwa kwa askari wa jeshi kupanda daladala za jerojero

    Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee . Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
  6. Orketeemi

    PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

    Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
  7. T

    Siku 9 kabla ya D9: Vitu na mahitaji ya muhim vimeanza kupanda bei

    Siku 9 kwenda D9 Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7
  8. figganigga

    Kimara: Polisi wanakagua simu kabla ya kupanda mwendokasi. Wanalazimisha utoe password

    Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
  9. The introvert

    Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intaneti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa kabla...
  10. The introvert

    Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intanenti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa...
  11. Mhaya

    Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Unaongezeka Mara Dufu Kufuatia Kupanda kwa Bei za Vyakula

    Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani. Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
  12. R

    Kupanda majukwaa ya kisiasa ni vita kama vita zingine, tuwaombee wanasiasa

    Salaam! Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia. Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  14. Blaszczykowski

    Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

    Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,500/= DStv Bomba - 27,500/= DStv Family - 40,000/= DStv Compact - 68,000/= DStv Compact Plus - 118,000/= DStv Premium - 189,000/= Extra view - 36,000/= Ndani ya mwaka tu wamepandisha...
  15. Knock life

    Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

    Ikiwa hakuna ulazima wa kupanda Boda , basi usipande.
  16. N

    Je, ni halali bei ya nauli ya SGR kupanda kila mara?

    Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026 Katika hali ya kimya isiyoambatana na maelezo kwa wananchi, Shirika la...
  17. secretarybird

    Intelligent businessman na Half american kupanda ulingoni kuzichapa 😎. Pambano la monetary doctor dhidi ya poor brain laahirishwa kisa UE.

    Ni msimu wa ndondi!! Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani. Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye...
  18. Dogoli kinyamkela

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  19. Mstahiki Mea

    Kupanda kwa Dollar kunavyoongeza Deni la Taifa

    Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo . Sasa...
  20. Adiya5

    Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

    Habari za muda huu watanzania, Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege...
Back
Top Bottom