kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa

    Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa. Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja akaniambia inabidi uwe unakunywa Balthazar nikamwambia ipo vipi ? , off course alinipeleka katika...
  2. Uhamiaji Zambia walitaka kunifunga kisa kuongeza siku

    Ila Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni. Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga, na wakikukosa unafuatwa mpaka kwa restaurant. Nakumbuka wamewahi kutunasa toka...
  3. Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  4. Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  5. B

    Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  6. SBL Yazindua Mpango wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

    Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
  7. R

    GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  8. Natafuta dawa za kuongeza Uboho

    Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
  9. Simba Yanga zitumie fursa ya Mashabiki kuongeza mapato. Nahisi bado kuna room

    Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato. Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa...
  10. Tetesi: Antonio Conte anahitaji saini ya Ademola Lookman, kwenda kuongeza nguvu ndani ya Napoli

    KOCHA wa Napoli, Antonio Conte, amewasilisha jina la mshambuliaji wa Atalanta na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookman, kwa mabosi wa timu yake na kutaka staa huyo mwenye umri wa miaka 27, asajiliwe katika dirisha hili. Conte anahitaji huduma ya Lookman kwa ajili ya kuboresha zaidi eneo la...
  11. Upekee vivutio Hifadhi ya Taifa Saadani kuongeza watalii

    TANZANIA imebahatika kuwa na hifadhi 21 za Taifa zenye vivutio mbalimbali vya utalii ambavyo baadhi havipatikani katika hifadhi za nchi zingine Afrika Mashariki na kwingineko. Hifadhi ya Taifa ya Saadani inayopatikana Mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo na Tanga katika wilaya za Muheza na Pangani...
  12. R

    Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

    Salaam! Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako. Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa. 1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri. 2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
  13. Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

    Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
  14. Jinsi Nilivyogundua Njia Rahisi ya Kuongeza Followers na Traffic kwenye mitandao ya kijamii

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua. Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu —...
  15. W

    Miongoni mwa dhima kuu za bajeti 2025/2026 ni Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0

    Shabaha za Uchumi Jumla Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia mwenendo wa viashiria mbalimbali vya uchumi jumla na utekelezaji wa bajeti ya Serikali, shabaha na malengo ya uchumi jumla kwa mwaka 2025/26 ni kama ifuatavyo: (i) Kuongeza kasi ya ukuaji wa Pato Halisi la Taifa kufikia asilimia 6.0...
  16. Tanzania na China kuongeza nguvu katika diplomasia ya uchumi

    TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
  17. L

    Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  18. Mwanaume punguza stress na ongeza siku za kuishi Kwa kanuni hii ya 40%, 30%, 25%, 5% na 0%

    Aslaam, Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake. na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi. sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia. leo hii nataka nikupe hii kanuni...
  19. Samahan wakuu, kati ya kuongeza Salon ya pili na Library ya movie bora kipi?

    Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000. lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
  20. Ulega Awataka Wakandarasi Dodoma Ring Road Kuongeza Kasi

    ULEGA AWATAKA WAKANDARASI DODOMA RING ROAD KUONGEZA KASI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (km 112.3) ambapo kwa sasa umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Ulega ameeleza hayo leo Mei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…