kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon. Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari? Nb. Title isomeke swali...
  3. JamiiForums Tanzania NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake. NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha...
  4. JamiiForums Tanzania CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  9. JamiiForums Tanzania MTUWASA: Maeneo ambayo hawajapata maji Mbae Mashariki, Mkandarasi yupo site kuongeza Mtandao wa maji

    TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki. Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
  10. JamiiForums Tanzania Battery Degradation kwenye EV na Hybrid: Sababu, Athari na Jinsi ya Kuongeza Life Span!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee kidogo kuhusu battery degradation za hybrids (HEV na PHEV) na magari ya umeme (EV), especially used tunayonunua kutoka Japan. Ili kuelewa degradation ya hizi battery, tuanze na utangulizi basics wa EV, PHEV na HEV kwa kutumia mifano ya magari maarufu ya hapa...
  11. JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuongeza thamani ya madini yake muhimu

    Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka mgodi wa Acadia karibu na Harare, mji mkuu wa Zimbabwe. Mafanikio haya ya kihistoria yanamaliza...
  12. JamiiForums Tanzania Kesho yako ipo kwenye kuongeza ujuzi

    Learn with us, You can't get those skills from master degree or PHD. No one wait for you. Geospatial Tanzania tunaamini Ujuzi ni chanzo cha kujiamini. Kama una ndoto ya kufanyakazi katika mashirika ya uma au tasisis binafsi. Tunawakumbusha mashirika ya uma na taasis binafsi yapo kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka buni hadi kikombe cha kahawa: Je Yunnan imewezaje kuongeza ubora wa kahawa yake?

    Kwa sisi wageni tunaoishi China, linapokuja suala la unywaji wa kahawa, mara nyingi tunajiuliza: Wachina walifanyaje hadi kahawa ikawa kinywaji kinachopendwa katika nchi ambayo kwa maelfu ya miaka inajulikana zaidi kwa chai yake? Hata hivyo, katika miongo miwili iliyopita, mapinduzi ya kahawa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Nyumba ya Chini Kua Ghorofa kwa Kuongeza Nguzo na Tofali za Kulaza?

    Kwema wakuu? Ninaishi kwenye nyumba ya chini ya zamani kidogo. Sababu ya muda wa nyumba hii basi bati zake zimeanza kuvuja sababu ya kutu na hata plasta imechoka baadhi ya sehemu. Sasa niliwaza kuikarabati kwa kurudia plasta pia kuezua paa, ceiling, kenchi, brandering, na kuweka mpya ikiwapo...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Bunge la Iran limetangaza kuongeza mishahara April 2026, kwa wafanyakazi baada ya vita

    kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tunajikita kuongeza magereza zaidi badala kupunguza uhalifu

    Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ? Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa kuongezeka kwa kasi zaidi Tutegemee ongezeko la uharifu zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Tujenge Uchumi wa kujitegemea kwa kuongeza walipa kodi

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya kodi kwenye pato la Taifa bado ni mdogo, jambo linalohitaji Serikali kuweka mazingira rafiki...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara, Kampuni za Tanzania zitumie mfumo wa lead generation and cold Outreach kuongeza sales?

    Nimekuwa nikifanya kazi na kampuni za kimataifa kutoka UK, Europe, Canada, na nchi nyingine As an independent freelancer - na moja ya siri kubwa ya ukuaji wao ni mfumo wa lead generation, cold calling na cold outreach. Hii strategy inawawezesha kuongeza client base yao kwa kiwango kikubwa na kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…