kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Corona ni matokeo ya zuio la mikutano ya vyama vya siasa, wanasiasa wana " kiu" ya kuongea chochote wajulikane uwepo wao!

    Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5. Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa. Hii haina afya...
  2. JamiiForums Tanzania Wanandoa waliokamatwa kwa kuongea uongo kuhusu Corona wafikishwa mahakamani, waachiwa kwa dhamana

    Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu... Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu. Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
  4. JamiiForums Tanzania Wanaoongea peke yao wanazidi kuongezeka

    Maisha yana maajabu mengi na mojawapo ni hili la watu kuongea pekeyao achana na mazungumzo ya kimya achana na mawazo ya kawaida hiki ni kitu kilichojengwa katika wizara nyingine kabisa wizara ya mawazo halisia. Sio wendawazimu sio vichaa hawajarogwa hawajalewa ni watu wana akili zao timamu na...
  5. JamiiForums Tanzania Hata akinunaje ataongea tu...

    Tulianza vibaya mwaka mpya na Ma msapu. Kisa kidogo tu nilimwambia sitoweza kumsaidia jambo ambalo yeye aliona ni muhimu nami nikasema sio kama vipi nipe muda.Alikasirika akaniambia hiyo ndio tabia yangu kwake na ananijua lakini ingekuwa mwingine ningempapatikia. Haikunipendeza lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…