Mahakama kuu ya Malawi imeamua kuwa adhabu ya kifo ni kinyume cha katiba.
Mahakama imesema kuwa hukumu ya kifo ipo kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu,
Hii ikimaanisha kuwa adhabu kubwa zaidi itakayotolewa nchini Malawi itakuwa hukumu ya kifungo cha maisha. Tume ya haki za...