Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana.
Kitivo cha biashara hakina...
Waafrika tunakasumba ya kuwaona wazungu wanaoishi Ulaya kama watu wenye maisha mazuri kuliko Waafrika wanaoishi Afrika. Tumeitukuza Ulaya na Wazungu wanaoishi huko kuliko waafrika wanaoishi Afrika. Wazungu wamejitahidi kujipamba na kujipambanua kwa Waafrika kuwa Ulaya ni kuzuri na kuna maisha...
Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa.
Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto.
Vita ya Ushabiki ni vita Nyengine kwa Tanzania.
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi.
Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi.
Sasa angalia movie.
Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka.
Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka.
Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi,
Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
android
baada
bei
bei ghali
buku
dhahabu
ghali
iphone
kuhamia
kununua
kuona
louis
louis vuitton
matumizi
mtoto
mtoto wa
muonekano
muonekano mzuri
ndani
sana
shule
simu
uhuru
wenye
Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji.
Kwa mfano, ninafikiria...
Phishing Link ni Nini?
Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema:
"Tazama nani anakupenda,"
"Bonyeza upate GB 50 za bure,"
au "Tazama nani anakuchukia kwenye group."
Zile link nyingi huwa mtego – zinaitwa phishing links.
Ni link zinazotengenezwa kuonekana kama halali, lakini...
Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi.
Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
Katika kufuatilia kwangu historia za watawala wa dunia hii sijawahi kukutana na kiongozi wa maana aliyewahi kuwa anazurura na bastola waziwazi kiunoni akawa na akili nzuri.
Viongozi wote ninaowajua ambao wamekuwa wakizurura na bastola kiunoni nati zao za kichwa huwa zimilegea na huwa viongozi...
Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani
Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea
Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika, bila kujiandaa bila kujali beat.
Tangu nianze kuijua hiphop miaka ya 2000 hapa bongo nimewajua...
Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo.
(1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box
(2) Kadi nyekundu yenye utata na...