Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema.
Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu.
Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka.
1...
Salamu,
Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja.
Hebu wamama jitokezeni kidogo tuwaone kwenye hii fani ya kuongeza siku. Naona comredi Joti ameamua...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bosi mpya wa mtandao huo, #ElonMusk, kuanzia Aprili 15, 2023 huduma hizo zitakuwa maalumu tu kwa watumiaji wa #TwitterBlue ambayo hulipiwa kwa Tsh. 16,380 kwa mwezi.
Watumiaji wasiolipia hawatokutana tena na Mtiririko wa Tweets maalumu zinazopendekezwa kwa...
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.
Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?
Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.
Britanicca
Raia 2643 Kutoka kongo-DRC wameingia mkoni kwetu Kigoma kuomba hifadhi kutokana na machafuko ya vita yanayoendelea nchini kwao baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23...
Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu:
i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia
ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima
iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora.
iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu.
Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
Hali imekuwa very tense Kenya. Raila amekuwa na wasiwasi mkubwa kutangaza maandamano,ameona matatizo mengi,ameona mambo mengi yanayoleta hofu,lakini vijana wake wameonekana wako tayari kumchezea simba masharubu. Kwa hiyo tunasubiri kuona jambo gani litatokea. Inaonyesha masses wana akili ya peke...
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye suala zima la kutoa pesa yao.
wanapenda sana vitu vya kitonga, vitu vya bei rahisi rahisi ili wapate...
Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa.
Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa.
Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa.
Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi.
Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama.
Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa.
Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali.
Tufike mahali viongozi wa...
Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi.
Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli?
Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa?
Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa.
Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha...
Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa!
Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi!
Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.