kuomba

  1. Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Habari wakuu... Naomba Kuuliza, kama nina AVN namba kuna umuhimu wa Kutumia Cheti cha Diploma Kuomba Mkopo elimu ya juu HESLB?
  2. O

    Kuomba mkopo

    Habarini na poleni kwa majukumu, Naomba kuulza ivi kuomba mkopo wa elimu ya just Ni lazima niende internet cafe? Cwezi omba kwenye cmu in case issues zitazonilazimu Kama kuprint ndo niende stationary?
  3. Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

    Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile: (1) Kusahaulika kwa...
  4. NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu, Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui. Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu! Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe? Kumbe...
  5. L

    Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
  6. IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
  7. Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

    Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’. United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
  8. Yupo anayepewa bila mizinga wala masharti, anakula mpaka anaikinai na anapelekewa bila kuomba. Usilazimishe, wewe sio chaguo lake!

    Hali ndivyo ilivyo, hata kwenye urafiki wa kujuana na watu kawaida tu kuna yule mtu hata akijenga nyumba porini bado atatembelewa ila kuna yule aliejenga sehem ya karibu ila hatembelewi mpaka labda kuwe na party na watu hapo wamekuja kwajili ya vinywaji na si kwajili ya mtu. Kuna mtu akikupigia...
  9. A

    TAMISEMI kwanini mliwahangaisha ndugu zetu kuomba ajira

    Kwanza niwape pole wadogo zangu mliohitimu miaka ya 2015 na 2016. Wenyewe mmejionea walivyotoa majina Hivi tamisemi inakueaje mtu wa mwaka Jana achukuliwe aachwe wa miaka ya nyuma? Mmekaa miezi miwili bila kutoa majina kumbe mnaingiza ndugu zenu? Bashungwa vijana wanakuchukia sana
  10. Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

    Timu underdog inaipangia CAF ianzie ugenini
  11. Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  12. M

    Ukraine ilianza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi toka 2014, lakini mpaka leo kilio chake ni kilekile cha kuomba silaha. Hii imekaaje?

    Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi. Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
  13. Wamasai wote mfunge na kuomba juu yanayoendelea Ngorongoro

    Hapo vip! Hichi kitendo wanachofanyiwa wamasai wangorongoro na Loliondo ni sawa na kutaka kuwatoa samaki kwenye maji waishi nchi kavu. Wakati ni asili yao na nimakazi yao waliyopewa na Mungu kama wewe ulivyokuwa na asili yako. Sasa nawashauri wamasai wote Duniani mfunge na kumuomba Mungu...
  14. Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
  15. Idris Gueye agoma kuomba radhi kwa kutokuunga mkono LGBTQ+

    𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+. Hivi...
  16. Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

    Wanajamvi habarini za majukumu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi. Picha zao zimekuwa...
  17. Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  18. Takriban 49% ya wasioajiriwa wajitokeza kuomba ajira za sensa

    Ikiwa ni siku 4 baada ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutangaza ajira za muda za Sensa. Watu 119,468 wameshajitokeza kuomba ajira hizo ambapo waombaji 58,916 ni wale ambao hawana ajira sawa na 49.3% Idadi hiyo ni ya kuanzia Mei 4 hadi saa saba kamili Mei 9, 2022. Aidha katika walioomba kazi hizo...
  19. S

    Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  20. Siku nne zaongezwa kuomba ajira TAMISEMI

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…