kuokoa

The Independent Party (Hawaiian: Kūʻokoʻa) was a political party in the Kingdom of Hawaii formed with the purpose of providing resources and benefits of a political party to independent politicians.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  4. JamiiForums Tanzania C-C Digital Pro ya anzishwa na Civilian-Coin kuokoa Sanaa Kimataifa

    Civilian-Coin introduces new production branch, "C-C Digital Pro", is a comprehensive digital media agency. They specialize in high-quality motion graphics for video, still picture production, and serve as a fully equipped recording studio for music and films. Core Services: C-C Digital Pro...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kuogelea ni sport tu… au ni skill ya maisha inayoweza kuokoa maisha?

    🏊‍♂️🌊 JE, KUOGELEA NI SPORT TU… AU NI SKILL YA MAISHA INAYOWEZA KUOKOA MAISHA? 🤯🔥 Watu wengi hupenda kuogelea kwa ajili ya burudani, fitness, au relaxation. Lakini ukweli ni kwamba kuogelea ni moja ya skills muhimu zaidi ambazo binadamu anaweza kujifunza. Mbali na afya ya mwili, kuogelea...
  6. JamiiForums Tanzania Dharura ikitokea Nyumbani leo Je, utaweza kuokoa Maisha au utapanic?

    Fikiria mtu amezimia ghafla. Mtoto amekabwa na chakula. Mtu ameungua moto jikoni. Au ajali imetokea mbele yako… 👉 Ungejua hatua ya kwanza kufanya? 👉 Au ungeanza kuchanganyikiwa kwa hofu? Ukweli ni kwamba watu wengi hupoteza muda muhimu sana kwenye emergencies kwa sababu hawana elimu ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

    Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa. Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake. Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10%...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta yamepanda bei, Fanya haya mapema kuokoa gharama

    a. hakikisha unanunua spark plugs original kwa ajili ya aina ya gari lako, kila gari ina spark plugs zake zimetofautiana joto, urefu, n.k. kama unatumia Toyota nenda kwa dealers wao wakupe aina ya pluga inayofaa kwa gari yako, plug moja inaweza kuwa ni elf 60 ila zinapiga kazi kwa kilometa laki...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa kuokoa rubani, Trump aingiwa na mzuka na kutukana na kusema anaipa Iran hadi jumanne

    Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua kiza tupu kote, atapiga umeme na madaraja yote na kurudisha Iran mbali............ Warning: The below...
  10. JamiiForums Tanzania POTOSHI Vikosi vya Marekani Vya pambana na IRGC Kuokoa Marubani Waliopotea

  11. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Heche aendelee kuwa Makamu Mwenyekiti, Kuwe na mwenyekiti wa muda kuokoa jahazi, Chama kinazidi kuoteza ushawishi wake

    Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao. Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
  13. JamiiForums Tanzania JWTZ Hawaruhusiwi Kutumia yale Mafunzo ya Kuokoa Mateka Kuokoa Wanaotekwa Tanzania?

    Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
  14. JamiiForums Tanzania Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kuzalisha battery ambazo zitajaa kwa mda wa dakika 5 lengo ni kuokoa muda unaotumika kuchaji

    Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter na rockets Fahamu battery ya ndege inatakiwa baada ya km 2000 ndo liishe na lijazwe kwa dakika 5...
  17. JamiiForums Tanzania Challenge ya kuokoa maji yasipotee bure kwenye bafu za hotel

    Hii ni challenge kwa wana mazingira na wapendao kutunza maji Maji ni uhai.. Bila maji maisha huwa ni magumu sana.. Wenye kujua umuhimu wa maji hubuni kila mbinu kuokoa maji yasipotee bure bila matumizi Kuna hii changamoto ya upotevu wa maji kwenye mabafu ya hotel zile sehemu zenye baridi ambako...
  18. JamiiForums Tanzania Inapasa mtu( watu) kuumia Ili kuokoa mpira wetu

    Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi Mambo meusi kama...
  19. JamiiForums Tanzania HATUCHEZI..YANGA MUWE NA MSIMAMO KUOKOA SOKA LA NCHI YETU HAWA WANAZI WA SIMBA KWENYE BODI WAAIBIKE

    Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA NARUDIA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…