kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

    Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka. Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

    Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile 1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

    Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012 Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017 Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38 Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Namuhitaji mke ambaye Yupo tayari kwa ndoa na siyo utani. Kama Yupo aje PM. Vigezo: 1. Umri usizidi miaka 30 2. Mkristo 3. Awe anapenda ujasiriamali 4. Mweusi na Mnene 5. Asiwe amesomea kozi za sheria 6. Awe na utayari wa ndoa, Asiwe na tamaa SIFA ZANGU 1. Mkristo 2. Muajiriwa sekta...
  5. JamiiForums Tanzania Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi mnatukera, kuoa muoe nyie pesa tuchange sisi!

    Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha michango kwa ajili ya harusi x. Yaani inakera na kuchukiza, nyie wasomi wa kibongo hii nchi sasa si ya...
  7. JamiiForums Tanzania vijana wengi wakristo kuogopa na kuchelewa kuoa hadi wafike 30+, zinaa inaepukika ?

    Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa. Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama; Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali. Kwenye ndoa za kikristo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kuokoka ni lazima na kuoa ni lazima

    Kauli mbiu ya Mwaka
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara. Sifa zangu Umri-37 Dini -Mkristu Kaz-mfanyabiashara wa mazao Kimo-mrefu wastani. Karibu pm tuyajenge
  10. JamiiForums Tanzania Kupitia yeye nataraji kuoa

    😳😳 Mchungaji huyo wa kanisa nchini S.Africa kwa jina la Jeslynn ameibuka kuwashauri wanawake walio kwenye ndoa lakini tofauti na matarajio yake amepingwa kwa karibia asilimia 95% na wanawake wenyewe kwa ujumbe alioutoa Mchungaji huyo amejitosa katika group la Facebook la Wanigeria na kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  12. JamiiForums Tanzania Unakuwa na mahusiano na mwanamke mpaka unawaza kuoa unakuja kujua baadae kuwa ulikuwa unaingia chaka, weka kisa

    Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani. Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

    Habari wakuu, Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa. Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji. Kupitia huu uzi, anatakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka jana nilishindwa kuoa kwa sababu za kijinga kabisaa, nilivunja uchumba na mabinti 7

    Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga. 1. Madam Shija Huyu ni wife material ila baada ya kwenda kwao nikakuta nyumba yao ni kama banda la kuku na...
  15. JamiiForums Tanzania Papa Francis ana mpango wa kuruhusu mapadri kuoa

    Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo. ====== In a new interview, Pope Francis...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

    Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa. Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha Usaliti,heshima ndani ya Ndoa au hata kwenye Uchumba kutokuwepo inatokana na mtu kupitia mahusiano...
  18. M

    JamiiForums Tanzania 10 Reasons why you should not marry while you are still young

    There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age. Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed Marrying young can be problematic because there are many possible obstacles and traps. Before deciding to...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi dini ya kiyahudi (Judaism) inaruhusu kuoa wake wengi?

    Wakuu hii dini ya wayahudi inaruhusu kuoa wake wengi?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa albino

    Weekend smart Wana JF Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani. Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia, leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…