Ndugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: 🤔
Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?” 😂
Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako.
Chagueni...