kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unapo taka kununua USAFIRI haswa GARI na PIKIPIKI hua unaepuka makosa gani?

    Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
  2. Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani?

    Miaka ya sasa ardhi imekua ni yenye kupanda thamani kutokana na miji kutanuka/kukua na kuongezeka shughuli za uzalishaji na makazi na kupelekea migogoro ya ardhi, utapeli na uharibifu wa mazingira JE Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani👇👇👇?
  3. Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  4. Msaada Bei ya Tank la Maji la Kiboko (2000L au zaidi) kwa aliyewahi kununua tafadhali

    Habari wana JF, Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi. Nimepitia kurasa zao za Instagram na Facebook (@kibokoplasticstz) lakini hawajaweka bei, na hata namba zao za simu...
  5. M

    Umewahi Kununua Spare Part Fake? Iliathiri Gari Lako Vipi?

    Wakuu habari zenu. Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
  6. M

    Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  7. Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  8. Wadau wa Cryptocurrency njooni tushauriane coins za kununua!

    Nafahamu Jf ni jukwaa kubwa lenye wadau wa kila aina! Hivyo basi kupata wadau wanaojihusisha na hizi coins either kutrade au kuhold itakuwa si jambo la ajabu. Kwa upande wangu nimeanza kutengeneza portfolio kwa ajiri ya long term investment(miaka 15 mpka 20), lengo ni kufikisha usd 2000 mpka...
  9. Kipi bora kununua air condition au kuchukua ya mkopo kutoka kampuni ya baridi baridi ?

    Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili, HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada...
  10. Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  11. S

    Nina Millioni 1 nataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua grosari (mini pub)

    Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub. Nianze na nini na nini? Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
  12. Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

    Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
  13. Jinsi ya Kufanya Wateja Wakuamini na Kununua Haraka

    Wafanyabiashara wengi wanaingia sokoni wakiwa na matumaini makubwa ya kuuza, lakini wanashindwa kuelewa kwamba wateja hawapo tayari kununua kwa sababu tu bidhaa ni nzuri au bei ni rafiki. Ukweli ni kwamba, mteja hanunui tu bidhaa ananunua uaminifu, ananunua uhakika, ananunua hisia ya kuwa...
  14. Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

    Wakuu, yaan hapa bora kununua tu kuliko kuleteana mambo ya ajabu.
  15. M

    Soko la ushindani kikabila,wateja wajumla wanaenda kununua kwa wauzaji wa jumla wakabila zao

    Habar wakuu msaada wenu kimawazo ,mim nimefanya biashara wa jumla vyakula na vinywaji Sasa Niko katika changamoto ya ushindani,hapa tupo masupply wa jumla kama wanne wa vyakula na vinywaji,Sasa kati yetu Kuna wawili kabila moja,Sasa wateja wooote wengi wale wanaokuja kununua jumla wakauze ktk...
  16. Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    Kama nilivyosema hapo juu, nchi yetu haina access za kununua game kwenye account za PlayStation. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta suluhisho la kununua hayo magame. Nasikia ukiwa Tanzania sio rahisi kununua mpaka ufuate utaratibu maalum, ambapo ni kufungua account na kupata redeem code –...
  17. W

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  18. M

    MIKOPO KWA WANAOTAKA KUNUNUA MAGARI NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.

    habari Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  19. M

    Mikopo kwa wanaotaka kununua magari ndani ya nchi na nje ya nchi

    Habari, Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  20. Tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja! Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam. Ukubwa wa Eneo unapaswa kuwa 800sqm-1500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja Dola 800,000. Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa maelezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…