kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askari waliotuhumiwa kumuua Mlinzi wa Boardroom wafukuzwa kazi

    JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wawili wa Kituo cha Mabatini wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi wa baa ya Board Room, Riziki Azan (29). Azan ambaye alikuwa mlinzi wa baa hiyo iliyoko Sinza jijini hapa, aliuawa usiku wa kuamkia Novemba 29, mwaka huu wakati...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Adaiwa kumuua mkewe kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe

    Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe. Tovuti ya NTV ya nchini humo imesema mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kutekeleza mauaji hayo kwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya polisi wanaodaiwa kumuua muuza madini: Shahidi adai washtakiwa walitumia gari la OCD

    Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa kwenye machela limetajwa kuwa lilikuwa ni la Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kortini akituhumiwa kumuua mkewe

    Mkazi wa kijiji cha Nyangomango Wilaya ya Geita, Baraka Shija (30) amefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza akishtakiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia ya kumuua mkewe, Grace Daudi kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Shauri hilo namba 75 la mwaka 2023 limesikilizwa leo Jumatatu Oktoba...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Jinsi alivyojibu tuhuma za kumuua wifi yake

    Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli. Miriam alitoa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 10 kwa kumtupa Mtoto shimoni na kumuua ili asafiri kwenda Uarabuni

    Mahakama Kuu ya Mombasa imetoa hukumu hiyo dhidi ya Happy Mwenda Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumtupa Mtoto wake mwenye umeri wa mwaka mmoja kwenye shimo ili asipate kikwazo wakati wa kusafiri. Akisoma hukumu hiyo Jaji Anne Ong'injo amesema mshtakiwa anapaswa kuadhibiwa sio tu kwa lengo...
  7. JamiiForums Tanzania KWELI Sauti ya Keefe D yasikika akikiri namna alivyoahidiwa dola milion 1 na P. Diddy amuue Tupac

    Salaam ndugu zangu, Leo katika pita zangu mitandaoni nimeona baadhi ya kurasa zinazoweka masula ya burudani na habari za Wasanii zikieleza kuwa kuna sauti ya Keefe D imevunja ikikiri kuhusika na kifo cha 2 Pac. Upi ukweli kuhusu sauti na sakati hilo?
  8. JamiiForums Tanzania Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

    Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu. Israel bado haijaanza kulipiza kisasi. ========= PHOTO: GETTY IMAGES Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Makaburu kumuua Nyerere: Silent War: South African Special Forces (Recce)

    COMMANDO RAID ON DAR ES SALAAM, TANZANIA 1972 BY SOUTH AFRICAN SPECIAL FORCES (RECCE) from The Silent War: South African Recce Operations 1969-1994 by Peter Stiff FRELIMO, like half a dozen other liberation movements including the ANC, were well ensconced in Tanzania. FRELIMO's main camp was at...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mkewe

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye Selan Kondo kwa kumchoma kisu begani. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Septemba 26, 2023 na Hakimu...
  12. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

    Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi. --- Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya: "Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Bibi ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa mwaka mmoja kwa kumkata kwa jembe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia bibi mmoja aitwaye MALOGI LUOBELA [75] Mkazi wa Kijiji cha Ikoho Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumuua mjukuu wake aitwaye VISION ERICK mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano kwa kumkata kwa jembe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  14. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Polisi yamsaka Mwalimu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa tuhumiwa huyo James Fabian Urasa anatafutwa kwa tuhuma za kutenda kosa hilo dhidi ya aliyekuwa Mwanafunzi katika Shule ya Msingi Samanga ya Wilayani Rombo. Inadaiwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo Julai 17, 2023 na kutokomea kusikojulikana Kamanda wa Polisi...
  15. JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumbaka na kumuua Mke wa Mtu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Nyuki waua mmoja Sumbawanga

    Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
  17. JamiiForums Tanzania Wakili afungwa miaka 7 kwa kumuua Mpenzi wake

    Wakili wa Kujitegemea Steven Mduma (38) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia Mpenzi wake aitwae Jackline Mwanjimbe. Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji John Nkwabi baada ya kupatikana...
  18. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua mkewe ajirusha na kuligonga treni, afariki dunia

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina na Omary amefariki baada ya kujirusha kwenye treni eneo la Ubungo Maziwa baada ya kudaiwa kumua mke wake Mwanahamisi Mjeshi. Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zinaekeza kuwa tukio hilo la mwanamke kuuwawa zimetokea leo Jumatano Juni...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…