Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,424
18,055
Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.

---

Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:

"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha GreenGuard kutaka kuniua. Kwamba Green Guard hao wameanza kuuliza ninakoishi na nikakoshinda ili iwe rahisi kufanya unyama juu yangu. Na mimi nimeanza kupeleleza majina ya green Guard hao wote.

Pili ni kwamba Tulia anapaswa kujua kuwa Mdude analindwa na damu ya Yesu, Mungu Mwenyezi yupo pamoja na Mdude ndio maana kila hila zikipangwa juu ya Mdude zinakwama. Mwisho kabisa ni kwamba hizo levo za kuvamiwa na Green Guard + polisi zilishazivuka niko mbele sana."

Screenshot_20230925_222159_Parallel Space.jpg
 
Hizi Taarifa za hivi huwa tuna zipuuzia alafu baadae tunaanza kujifanya Wana harakati na kiweka vi hashtag vya kinafki........

TAARIFA HII ISIPUUZWE ili Kama ni uongo mdude awajibishwe kwa kumchafua spika na Kama ni ukweli mbunge wangu awajibishwe...
 
Hii ni hatari sana, inaweza kutumiwa na maadui wa Tulia kummaliza Mdude halafu zigo lote limwangukoe tulia😂😂😂

Naona muda si mrefu Mdude akishitakiwa
Seems hadi kuongea hivyo kuna jambo. Anyway, vyombo husika vifanye kazi yake ya kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Tunalipa kodi kwa ajili hiyo.
 
Back
Top Bottom