Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,567
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
 
Attachments

  • ewtngb_3027724.mp4
    3.6 MB
  • download (23).jpeg
    download (23).jpeg
    7.2 KB · Views: 32
  • download (24).jpeg
    download (24).jpeg
    8.9 KB · Views: 19
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa mapokezi
Kivipi na kwa lipi? Kweli ni tetesi.
 
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
MMmh dini zingine hizi, haya.
 
Kwanza unaonekana hajui utaratibu wa kumpata Papa!

Wote wanao ingia kwenye Conclave ( kikao Cha Siri) cha uchaguzi wa Papa wanasifa ya kuwa Papa.
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa kinda kamati ya Maandalizi ili tuwe mapokezi makubwa dunia itutambue.
 
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Acheni upumbavu

Taratibu za huko ni siri na hakuna anayejua

Nyaraka tu za kawaida za historia zinafichwa
 
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Hii habari itakuwa mbaya sana kwa mjalaana samia bushiri na wahuni wenzie na wale mashehe wa kusukwa na ccm😁😁😁😁
 
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa.

**Huu ni mwaka wetu Watanganyika [Janabi na punde Rugambwa]

**** Kagera tujipange kwa kuunda kamati ya Maandalizi iliyojaa Wasomi na wafanyabiashara wakubwa tuwe na mapokezi makubwa dunia itutambue.
Mswahili ateuliwe Papa?
Subutu….!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom