kumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumbuka; Viumbe hatari hupenda kujificha

    KUMBUKA; VIUMBE HATARI HUPENDA KUJIFICHA. Anaandika, Robert Heriel. Moja ya sifa kuu ya kiumbe hatari ni kupendelea kujificha, kukaa mafichoni, kukaa chobingo. Hawapendi kujianika Anika hovyo, kujidhihirisha hovyo. Kwanza weka akilini kuwa Kiumbe hatari hujijua kuwa yeye ni hatari, tena...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukiumiza watu kwa kudhani wewe ni mzalendo sana kumbuka ukiondoka Nchi ina baki palepale wanachukua wengine

    Ndugu wanajamii naungana na Paul Mayalla ktk makala zake za Kwa Maslahi ya taifa. Tukiwa ktk wikendi hii ni vema tukatafakari jambo hili. Kumbe cheo ni dhamana. Siasa ni swala la kitaifa sio la mtu binafsi na kwamba usijimilikishe michakato ya kitaifa kufika hatua ya kuumiza watu wengine ili...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa, ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

    Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Ukitunga sheria kumbuka kuwa inaweza kukugeuka

    Mwaka 1880 Malkia Sunanda Kamiriratana wa Thailand akiwa kwenye boat ndogo ya kifalme, boat hiyo ilipata ajali kwa kugongana na boat kubwa. Watu waliokuwa kwenye boat ndogo yani malkia, binti yake, vijakazi na walinzi wake wote walidumbukia kwenye maji. Shida ikawa ni je wamuokoe malkia au...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna wanao kumbuka nappy pins

    Usiombe mvua inyeshe na una nappy 5, wakati huo omo haipatikani sabuni olikua Foma kutoka Tanga. Nappy hazikuwa rahisi kwani zilipatikana kwa matendo kutoka Zambia, Kenya, Congo na walioishi mipakani ndiyo walituletea. Ukisafiri Dar Bukoba unafunga nappy chafu utafua ukifika. Hizi...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumbuka haya na uyatafakari

    Nakusalimu mama! Kwanza nakukumbusha methali isemayo "Ushikwapo Shikamana" Tangu lilipotokea janga la msiba wa Magufuli, katiba ilikutaka wewe ndo uwe Rais wetu lkn mazingira ya wewe kuwa rais hayakuwa mepesi, tunamshukuru mungu uliapishwa na kushika madaraka. Baada ya kuapishwa wana CCM wenzio...
Back
Top Bottom