kulipwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Mwanamke mmoja aliomba 200k kwa dharura kilichotokea ni hichi

    Mwaka jana mwanamke mmoja aliomba Gerald .Aliomba TSH200k as a kwa dharura. mara ya kwanza aliogopa lakini mwanadada alilia . Alikua anaitwa Mwende Hakuwa na pesa kwa hivo ilibidi aombe KCB . Mungu akubariki sijui ningefanya nini Ni sawa dada nenda utatue shida zako .usinikose umeona...
  2. A

    KERO Kwanini Bodi ya Mikopo hairuhusu madeni yao kulipwa kupitia benki nyingine?

    Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu. Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine). Hivyo...
  3. Noah the lastborn

    Nahitaji muongozo namna ya kulipwa youtube

    Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
  4. A

    KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000. Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
  5. N

    Niko Mwanza, natafuta vibarua, kazi za halali za kulipwa kwa siku

    Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni .... Natafuta kazi yoyote ile iwe ya kufua nguo, kumshikia mtu kuuza duka la dawa kwa siku ambazo...
  6. Bongo Tech Giant

    Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  7. Bawabu wa pili

    Boda aliyegongwa na Mwendokasi kulipwa Milion 88 kama fidia

    Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi la mwendokasi, ambapo pia imebainika kuwa Dereva Hafidhi Ally alikuwa akiendesha basi hilo kwa mwendo hatarishi ambaye pia...
  8. Q

    Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  9. Mlalamikaji daily

    Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

    Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
  10. N

    Naweza kulipwa hela yangu yote NSSF?

    Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5 Mwaka huu mwezi wa 6 mkataba umeisha na nikaamua kufungua madai nssf na kukamilisha mchakato wote na kutia...
  11. kadiri kasimba

    UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  12. DuaZaMama

    Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  13. A

    KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  14. M

    Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  15. M

    Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  16. J

    Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama...
  17. DELETED ACCOUNT

    Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

    Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
  18. Mr Why

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
  19. A

    Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  20. FestoKaguo

    Ningependa Kulipwa kwa Bitcoin… Je, TRA Watanifunga?

    Kama freelancer au mtu unayefanya kazi za mtandaoni, kuna siku inawezekana ushawahi pokea message au utapokea email au message ikisema, "I’d love to pay you in Bitcoin. Are you okay with that?" Na hapa ndipo swali linapojitokeza kwa wengi wetu hapa Tanzania: Kama nikilipwa kwa Bitcoin, JE! TRA...
Back
Top Bottom