Kuna saa maelezo ya unayemdai huwa kama kelele tu huelewi anachosema. Yaani utakuta kashapitiliza kabisa muda wa halafu kama analeta stori hivi. Huwa sio vibaya kuwa hivyo maana usipokaza kwa wabongo wengi unaweza usilipwe. Binafsi nilishawahi kuwa upande wa kudai na kudaiwa vilevile. Najua...
Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka.
Sasa katika moja ya hotuba...
Kwa taarifa Tu. Tunaendelea vyema kulipa deni letu huko Iran. Hatuja default hata mara moja (kwa lugha ya kimkopo).
Sema sasa ukiniuliza Mkopo tulifanyia nn ndio sijui.
Wabillah Taufiq.
---
EHRAN- Based on an agreement signed between Tanzania and Iran, the African country will pay its debts...
Sio wageni kuhusu hii dini ya freemasonry ambayo ikijitapa kuwa inanguvu ya pesa na watu maarufu.
Huko nairobi wana deni la pango nyumba za serikali mpaka kufungiwa jumba lao maeneo ngara.
Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele.
Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
Ukitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yoyote ila ngoma ni wakati wa kulipa hasa unapotaka kufanya mabadiliko ya malipo ya mkopo wako, huwezi ng'o!
Benki hebu acheni hizo bana yaani kuna vitu hivi laiti mngewezesha Watu kujihudumia wenyewe kwenye Mfumo wa ESS...
Nakumbuka jumapili moja nikiwa Sina hata 100 mfukoni nikiwa nawaza nafikaje kesho chuo maana kwenda na kurudi ni 1200 basi mida ya saa mbili najiandaa kwenda kanisani mara nikapigiwa simu na namba ngeni.
Nikasikia sauti ya mwanaume akiniambia nimsamehe kwani alikuwa amepata...
Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family...
Umeenda manispaa umepimiwa kiwanja kwenye mradi na hakina mgogoro baada ya hapo unakabidhiwa fomu ya kupokea kiwanja ambayo ina details zifuatazo:
1. Jina la mmiliki
2. Ukubwa kwa sqm
3. Mahali kilipo (block ABC)
4. Aina ya matumizi kama ni makazi pekee au makazi na biashara.
Na mwisho pale...
Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya.
"Income kutoka Kenya inatabiriwa...
Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22
Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri kufikia tarehe 31 Desemba 2020, ambao wengi wenu mnajua ni mwaka wa Covid-19.
Unajua mkopo wetu...
MWANAUME wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha Manyata katika Kaunti ya Murang’a, anadaiwa kujitoa uhai kwa ajili ya kukwepa deni la Ksh 30, 000 ambayo ni sawa na Sh 520, 000 za Tanzania ambalo linadaiwa kuwa ni rushwa kwa polisi wa Kituo cha Sabasaba.
===
Mwanaume wa miaka 40, mkazi wa Kijiji cha...
Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA.
Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo.
Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael.
Au ndio mmeshapoteza...
Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
SAKATA LA MTIBWA DHIDI YA YANGA
🔋 Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Abou Msheri kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments)
🔋Mtibwa walisema wazi kuwa wao wanachotaka ni pesa yote kamili kwakuwa hawana haraka nayo, Mtibwa ikaomba ipewe tarehe...
Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, msichana huyu almaarufu manzi wa TRM alisema kwamba alikutana na...
Habari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi...
Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar.
Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 18%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%.
Mkataba wa Muungano kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.