kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wenye Damu kundi A wana hatari ya kupata Kiharusi kuliko wenye kundi O

    Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60. Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
  2. JamiiForums Tanzania KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa. Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima, na siyo...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

    Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu. Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
  4. D

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  5. JamiiForums Tanzania Masikini wanaishi maisha ghali kuliko matajiri

    Sidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500. Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mchambuzi EFM na Rais wa Wapanda DalaDala Wilson Oruma: Simba wamesajili vyema kuliko Yanga

    "Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima. Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita. Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga...
  7. JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa ukiwa na watoto wengi kuliko mali ulizonazo wewe ni Maskini

    Dunia ya leo ni tofauti sana na ile dunia ya miaka 1000 iliyopita dunia ya leo kadiri unavyoongeza watoto unagundua ndivyo unavyojiongezea mzigo wa malezi, matunzo na nguvu ya ulinzi ya watoto wako kiroho na kimwili, Dunia ya leo upebari ndio unaoitawala na kuiongoza dunia kuliko ule mfumo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanawake wanajiamini Sana kuliko Wanaume; Vijana wengi wamekuwa mazuzu

    KWA SASA WANAWAKE WENGI WANAJIAAMINI SANA KULIKO WANAUME; VIJANA WENGI WAMEKUWA MAZUZU! Anaandika, Robert Heriel Ili mwanaume asijiamini itampasa awe na mapungufu Kati ya haya; i) Upungufu wa Akili/ uwezo mdogo wa kufikiri. Uwezo mdogo wa kufikiri ni moja ya sababu zinazopelekea kijana...
  9. JamiiForums Tanzania Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu 1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
  10. JamiiForums Tanzania Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

    Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume

    Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani. Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwangu madilu systerm ni msanii bora kuliko franco luambo makiadi

    Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo makiadi kwangu madilu ni bora kuliko franco mimi kwangu franco ni namba mbili baada ya madilu. Japo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  15. JamiiForums Tanzania Ukabila una nguvu kuliko udini

    UKABILA ni ushamba na ugonjwa wa akili. Udini pia ni ushamba na ugonjwa wa akili. Sisapoti udini wala ukabila wala ukanda ila ninazungumzia uhalisia. Mwanadamu hujiona yupo so much connected na mtu wa kabila lake au rangi yake kuliko mtu anae share nae dini yake ambae sio wa kabila lake...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Vyoo vya kuchuchumaa ni bora kuliko vyoo vya kukalia

    NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia. Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa.. 1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi la asili kwajili ya kutoa haja kwa ufanisi wa hali ya juu, njia ya haja linafunguka zaidi pale...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

    Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali. Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua...
  20. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…