kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

    Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu. Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
  2. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kwa Mzazi wa Kiafrika kukutukana kuliko kukwambia 'Nakupenda Mwanangu'

    Malezi ya Kiafrika yana changamoto sana, licha ya kuwa kila mzazi ana njia zake za kumlea mtoto lakini kwa Afrika huku nyingi zinafanana, ikiwemo kuchapa, kufokea, kutukana, kusemwa vibaya na mengine mengi. Hali imesababisha madhara makubwa kwa watoto wengi na kuharibu tabia kiasi cha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hasara za walimu na waganga wa kujitolea ni kubwa kuliko faida

    Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo: Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwanini bidhaa /vifaa vinazozalishwa nje vinaaminika kuliko bidhaa au vifaa vinavyotengenezwa nchini ??

    Ningependa kupata Maoni kuhusu hili ..!!
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe kinshasa imejengeka na kupangika vyema kuliko Dar?

    Kuna jamaa yangu ameenda Kinshasa kwa shughuli zake.sasa kanirushia picha za huo mji,ebana kumbe Kinshasa iko vizuri kuliko miji mingi tu hapa Africa ikiwemo Dar yetu.
  6. JamiiForums Tanzania Pengine leo tutashuhudia fainali mbovu ya UCL kuliko zote katika historia ya michuano hiyo

    Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu zaidi katika historia kwasababu mbalimbali. Mosi, man city wapo katika fomu ya hatari sana anatoa dozi...
  7. JamiiForums Tanzania Uraibu wa Bob Marley ina maana ni bora kuliko ulevi wa madaraka wa viongozi wetu?

    Redemption song Zion train African unite Stand up Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa. Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
  8. JamiiForums Tanzania Mara 1000 Rais Samia angekutana hata na Wahadhiri kuliko Yanga

    Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii. Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata...
  9. JamiiForums Tanzania Ingelikuwaje Kama Tanganyika Ingelipata Uhuru Wake Kwa Kuchelewa Kuliko Majirani Zake, Tuseme 2005?

    Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's. Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni hadi mwaka 2005, hali ingekuwaje? Kwamba, labda Ujerumani ingeitawala tokea mwaka 1891 hadi 1975, na...
  10. JamiiForums Tanzania Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

    Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu. Ewe Mwenyezi Mungu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Viwanja vya ndege vya Kenya ni bora kuliko Tanzania

    Yaani baada ya kuangalia Video inayosambaa, nikashangaa Tanzania hawana Viwanja pamoja kuwa na ndege za kisasa. Tatizo ni nini? Kwani jengo la Abiria Shilingi ngapi? Wakenya wanawacheka Tanzania kwa dharau Samia kazi anayo.. Hivi Magufuli kumbe hakujenga kiwanja hata kimoja Naona aibu.
  12. JamiiForums Tanzania Leta ushuhuda wako wa watoto walioonekana wa maana kwa wazazi wako kuliko wewe wakati huo, lakini sasa...

    Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa. Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini USHIRIKINA ni dhambi kubwa kuliko zote kuwahi kufanyika hapa duniani?

    Habari zenu Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kwanini amri ya kwanza ya Mungu kwenye Torati imekemea suala la Ushirikina kabla ya kukemea uuaji, uongo, ushoga, uzinzi, wizi n.k? Kwanini iwe ni suala la Ushirikina? Kwanini vilevile kitabu cha Quran kikaja tena kupigilia msumari ww Moto...
  14. JamiiForums Tanzania Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

    Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho. Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bravo TANZLII kwa kutengeneza website yenu ambayo ni user friendly kuliko ya zamani

    Si dhambi kumsifia mtu na kumpa pongezi na hongera kwa kazi nzuri. Website ya TANZLII ya sasa ni user friendly kuliko ya zamani. It is easy to search for whatever information you want that is provided by the website Hapa CJ nakupa tono, ila kwingine bado.
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

    Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo; ~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa. ~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Usaliti wa kisiasa: Ukraine wameuona zaidi kuliko pengine

    Kwenye kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais Zelensky alisema hivi: “Our first priority is a ceasefire [in Kiev’s war with the Donbass]…I would not hesitate to lose my position for the sake of peace.” Yaani "Kipaumbele chetu cha kwanza ni kusitisha vita (kati ya majeshi ya serikali na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

    Tangu Urusi aivamie Ukraine Feb 2022 ni miezi 15 sasa, kuna mengi tumeona na kusikia kwa kila upande katika uwanja wa vita. Kuna maeneo matano (5) ambayo Urusi na Ukraine wameyafanya kuwa ni ngome za mapigano. Miji hii ni Bakhmut, Soledar, Avdiivka, Kreminna na Vuhledar. Katika miji hii...
  20. K

    JamiiForums Tanzania NEMC ingieni mtaani mfanye jambo, kuna watu binafsi wanapiga kelele kuliko hata huko kwenye kumbi za starehe

    Uchafuzi wa mazingira wa kelele ni moja ya kero kubwa ambazo zipo mitaani kiasi kwamba imeonekana kama ni sehemu ya maisha hasa ya wale wananchi wa kawaida mitaani. Nitoe histori kidogo, mtu anaposema kelele nina uzoefu wa kuwahi kupitia ker kama hiyo sitaisahau. Nilikuwa naishi mitaa ya Sinza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…