kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kibwana Shomari ni beki Bora (kitasa haswa) Kuliko Israel Mwenda Hilo halipingiki

    Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
  3. JamiiForums Tanzania Nyama hii ni tamu lakini ni adimu

    hii ni nyama adim sana ila ukiipata utajilamba ila kunawatu hawaipendi kwa sababu ya bei yake ni kubwa sana
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mungu alimpenda sana Daudi kuliko Sauli?

    Katika Biblia, Daudi anajulikana kama "mtu wa moyo wa Mungu" (1 Samweli 13:14, Matendo 13:22). Hii ni ajabu kwa sababu maisha yake yalikuwa na makosa mengi, ikiwa ni pamoja na uzinzi, mauaji, na kuchukua wake za watu. Hata hivyo, Mungu alimpenda na hata akamjengea heshima mbinguni kwa kumpa mtaa...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Gavana wa Benki Kuu EU: Donald Trump ni janga baya kuliko Corona

    Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita. Shirika la Habari la IRNA limemnukuu...
  7. JamiiForums Tanzania Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu;bado Masaki ni bora kuliko Mbweni

    Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa. Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo. Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best. Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania

    Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
  11. JamiiForums Tanzania Lamine Yamal anajua mpira kuliko Vinjr

    Hili halina kipengele kabisa dogo kwa umri wake na mambo yake 🙌
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  13. JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Kuchukua umeme kutoka vyanzo mbalimbali nafuu, ni kwa usalama wa Taifa letu

    Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
  14. JamiiForums Tanzania “Pepsi Yageuka Superpower: Ilivyokuwa na Jeshi Kubwa Kuliko Mataifa Madogo!”

    Katika miaka ya 1980, Urusi (wakati huo ikiwa sehemu ya Umoja wa Kisovieti) ilifikia makubaliano ya kipekee na PepsiCo kwa sababu ya matatizo ya kigeni ya kubadilisha fedha (foreign exchange restrictions). Umoja wa Kisovieti haukuwa na upatikanaji rahisi wa dola za Kimarekani kwa ajili ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume kuna sababu zipi zinakufanya upende kahaba kuliko kuwa na mke wa ndoa?

    "Je, kuna sababu yoyote ya mtu kupendelea kuwa na kahaba kuliko kuoa ama kuwa na mahusiano rasmi? Niliona wengi wakijadiliana kuhusu hili na ningependa kujua mawazo yenu." Mdau wa 1: "Kwa upande wangu, naona watu wanapenda kuwa na kahaba kwa sababu inawapa uhuru zaidi wa kutokuwa na wajibu...
  18. JamiiForums Tanzania Dini ni hatari kuliko shetani mwenyewe.

    Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu. Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea. Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni. Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni. Wasabato wanaamini wao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Game ya Tarehe 8 March, Simba ina Pressure zaidi kuliko Yanga

    Sababu ni moja tu : Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5. Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika. Kwa upande wa Yanga wao hawana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi. Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…