kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mihimili Imara ya USA, Trump angelikuwa dictator kuliko waliowahi kutokea

    Happa ndipo tunaona umuhimu wa kuwa na strong independent Judiciary, Bunge and other governing institions to be independent of the executive. Kwa mwendo wa trump, huyu ni dictator wa kutupwa kms wa hapa kwetu Most Americans Describe Donald Trump as 'Dangerous Dictator'—New Poll Published May...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wana maarifa mengi kuliko mamlaka?

    Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi? Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo? Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  5. JamiiForums Tanzania Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  6. JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ni kubwa kwa Nchi ambazo hazifungamani na upande wowote duniani.

    Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.
  7. JamiiForums Tanzania Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

    Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
  8. JamiiForums Tanzania Waliojiajiri wana furaha sana kuliko walioajiriwa

    Za leo wakuu.Kila mtu kuna namna anapata riziki zake hapa duniani. Nimefanya uchunguzi kwamba watu waliojiajiri wana maisha ya furaha sana. Wanasiasa wengi wana hela na vyeo ila ukichunguza hawana amani. Walioajiriwa maofisini ni lazima uamke asubuhi ukasaini hata kama bado usingizi ni mtamu...
  9. JamiiForums Tanzania Denis Nkane ni Bora kuliko Ikangalombo

    Huyo Ikangalombo amekuja Yanga kubana nafasi tu za vijana wetu akina Nkane Nkane ni mzuri zaidi ya Ikangalombo Nkane ana skills za football Nkane ana speed Nkane ana akili Anajua ku cut in kuongeza namba ya viungo na washambuliaji inapotakiwa, Ikangalombo anakimbia kama amekatwa kichwa au...
  10. JamiiForums Tanzania Qatar ni hatari zaidi kuliko Iran' Inauma na kupuliza ni “Yuda Iskariote”

    'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023. Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siku watu watafanya maamuzi magumu kuliko Hamza na wasilaumiwe

    Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari. Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha. Na kwa hawa jamaa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia ndani ya CHADEMA kwa sasa imekua kuliko kwenye utawala wa Mbowe

    Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi. Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe. Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ghala kubwa la silaha kuliko lote huko Russia 🇷🇺 lalipuliwa

    Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze. Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kufuatilia sana Nimegundua Mungu yupo ,ila hakuna dini wala dhehebu lililo bora kuliko lingine .Mungu ni mmoja tu

    https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona . Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kina Mrema 2024 walikuja na kauli mbiu ya "watake wasitake" hivi ni nzuri kuliko ya No reforms No Election?

    Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024...
  16. X

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  19. JamiiForums Tanzania Stori ya Yesu ndio stori mashuhuri zaidi kuliko zote kuwahi kusimuliwa na kuwa documented.

    Stori hii ya mtoto wa Seremala ambaye miaka 2000+ baadae stori yake imeungwa mkono na kuenziwa na wafuasi zaidi ya watu bilioni 2.6. Stori hii iliotengeneza utamaduni na jadi mpya duniani na ikabadirisha ulimwengu for good, utamaduni wa utulivu na amani, kutokuwa na kinyongo na kusamehe, utu na...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya hawa mabinti wa kibongo celebrities, yupi hasa ni MVP kuliko wote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high networth connections etc Na kila mmoja ukimtizama na harakati zake, unakuta kwamba sio za kitoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…