kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na kutenda mapema kwa njia ya sadaka kuliko maombi makavu

    KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu hakuwaacha. Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama wabunge wameanza kuorodhesha mambo waliofanya kwenye uongozi wao, sasa Rais Samia kafanya nini? Kwahiyo mama amejaa madeni?

    Ni swali tu mje kwa step msije mkajikwaa mkavunja miguu🤣🤣🤣 Ilikuwa kila unakopita mama kafanya hiki, mama kaleta hela zile, mama kanunua hiki, mama kasaidia wale, mama kajenga nini, mama hadaiwi.. mamaaa.... mamaa.... mamaaaa! Kinachoshangaza sasa hivi kila anayetetea nafasi yake anaorodhesha...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watia nia ni wengi kuliko wapiga kura

    Wana JF Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote Kuna maisha baada ya uchaguzi
  4. JamiiForums Tanzania Kujenga ghorofa la mawe kunaweza kuwa cheap kuliko ghorofa la kawaida?

    Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
  5. JamiiForums Tanzania Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP, Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao! WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  8. JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran. Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana. Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  10. JamiiForums Tanzania Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

    Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo: Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye...
  11. JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

    Habari wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa. Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  14. JamiiForums Tanzania Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini hii Israel ya Sasa inaonekana kufanikiwa kuliko Israel za zamani ambazo hazikuwa na ukaribu na wazungu isipokuwa Mungu tu?

    Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za kufeli kwao ilikuwa ni umbali wao na Mungu wao. Mfano Waliteswa na Wafilisti Walikuwa watumwa wa Wairaq...
  16. JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Dr Mollel anapolalamika watanzania kuchangia harusi kuliko kuchangia matibabu!Falsafa za kiongozi ndizo hutengeneza mwelekeo wa watu wake

    Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta. Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika kutoa ili tusiwakwaze ndugu na marafiki kwa kuwa jambo hili hakuna viongozi wa dini hususan...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tukio la mwanafunzi aliyejifungulia chooni limemtia aibu RC zaidi kuliko hata hao walimu

    Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki. RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

    Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…