kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni bora kuamini mungu yupo umkose kuliko kuamini hayupo umkute?

    Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la kamari ya Pascal. Inasema kwamba mtu yeyote mwenye busara anapaswa kuishi kana kwamba Mungu yupo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za N.A.M (Non-aligned Movement) zinaonekana ni za kijamaa zaidi kuliko kuwa "neutral"??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kwanini nchi za NAM (Non-aligned Movement) zinaonekana ni za kijamaa zaidi kuliko kuwa "neutral"?? Mfano: Tanzania, Zimbabwe, Venezuela, Cuba, Belarus. Are they really non-aligned?? What might be the problem??
  3. JamiiForums Tanzania Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    1. Warangi hawajui kukataa mnaweza kutembezewa mbunye (isio na antenna) mtaa mzima bila kujuana. full majuba ila maadili hamna. 2. Ukioa Mrangi, jiandae kulea ukoo mzima nyumban kwako hata umepanga chumba kimoja. Kaka zao wala mirungi mwanzo-mwisho. Full kutegemea Dada zao.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuna shida ikiwa mapwala ni marefu kuliko magic stick?!!

    Naomba kujua wajuzi kama hilo ni tatizo au la? nb: Mapwala = tongo =pumbu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza. Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Israel inaamini ni Bora wakuogope kuliko wakupende

    Kwa wanachofanya Israel hapo mashariki ya kati licha ya kelele nyingi zinazopigwa Hawa jamaa bado wanaishambulia tu Gaza na Lebanon
  8. JamiiForums Tanzania Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

    Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:- Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku. Miaka 70-75 yupo huru Baada ya hapo ni kifo Kwa hiyo, muda wa kuwa huru...
  9. JamiiForums Tanzania Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  11. JamiiForums Tanzania Watu walidiriki kusema pep ni bora kuliko Ferguson. Kumbe alikuwa anashinda kitapeli kutokea Barcelona hadi Man City

    Scars hawa watu ni matapeli mnooo
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndo safari ngumu kuliko zote Duniani

    Kuna mahali kwenye uso wa dunia ambapo mfumo wa GPS haupo, barabara zote zinatokomea, na sheria pekee iliyobaki ni ile ya kinyama: mwenye nguvu ndiye anayeishi, na mdhaifu anazikwa na matope. Amini usiamini, eneo hili si la kufikirika lipo. Linalojulikana kama Darién Gap, msitu huu wa kutisha...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Habari zenu wakuu. Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine. Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia...
  15. JamiiForums Tanzania Madereva bora tufe tumesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti

    Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu. Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani. Tangu waue 29.10.2025 heshima yao imeshuka. Wwanaonekakama kama wanyama mbwa mwitu.. Tunaishi nao kwa timing. Ama zetu ama...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni

    Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi? Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Ujasusi: Hatari Kuliko Vita Uwanjani?

    Hakuna kazi ya hatari kama Ujasusi majukumu yake ni kukusanya taarifa nyeti kutoka mataifa mbalimbali ili kulinda maslahi ya nchi au kusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kuishauri serikali Ujasusi ni hatari zaidi ya Mwanajeshi kuwa katika uwanja wa vita akikumbana na risasi na mabomu kwa sababu...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uhaini haina faida kwa taifa, inawanufaisha wanasiasa zaidi kuliko wananchi

    Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius. Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani. Sheria isomeke...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…