kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  2. JamiiForums Tanzania Jamii yote shangilieni, kaeni mkao wa kula na kunywa vinono!

    Wakuu, kwema humu? Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu wanywe na kula hata kwa mwaka mzima. Leo nikasema ngoja nirudi nichungulie nyumbani kukoje? Duh...
  3. JamiiForums Tanzania Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari

    Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari. Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai huko nchini India, alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42. Marafiki wawili waliweka...
  4. JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

    Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana. Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Za kwenu wakuu? Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu. Is there any idea...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto wa miezi 9 kutopenda kula

    Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje? Asanteni.
  8. JamiiForums Tanzania Lijue Tatizo la Kujihisi Mnene na Kukosa Hamu ya Kula (Anorexia nervosa).

    Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi. Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
  9. JamiiForums Tanzania Nina tabia ambayo inanitesa sana ya kula mboga nyingi

    Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto. Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo. Hali inayonifanya hata...
  10. JamiiForums Tanzania Kipi Rahisi kuongozwa na kipofu au aliyelala? Au kipi kitamu, Kula na kipofu au Kula chakula cha waliolala?

    Ulaji upo! Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha; Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala? Ukijibu hilo litafuata swali la mwisho, kipi kitamu, chakula cha vipofu au chakula cha waliolala? Majibu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

    Salaam! Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako. Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa. 1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri. 2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
  12. JamiiForums Tanzania Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

    Mko poa? Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania: 1. Wasukuma 2. Wanyakyusa 3. Wasafwa 4. Wajita 5. Wahaya 6. Waha 7. Wajaluo 8. Wakurya 9. Wangoni 10. Wagogo
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kula tunda

    Wakuu salaaam.. Moja kwa moja kwenye mada Leo nilipata kutembelewa ofisini na bibie mdogo miaka 18 hivi. Katika moja na mbili nikatupia ndoano kumvua kimwana huyu mzuri wa sura na shape. Ilivyo bahati ikabidi tuandae mazingira ya kula hapo hapo ofisini mida ya jioni saa mbili kasoro. Piga...
  14. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  15. JamiiForums Tanzania Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

    Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani, Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kweli serikali ya Samia inaagiza Mayai na kuku wa kula Ikulu Marekani?

    Hivi ni kweli Samia anaagiza kuku na mayai ya kula Marekani Tena na fly Emirates? Hiki ni Nini wakuu ?? Yaani Tanzania hakuna kuku mayai mpaka yatoke Marekani? Soma Pia: Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8 Ikulu njooni...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu Wasabato kama ni kweli kula kitimoto ni dhambi leteni ushahidi kimaandiko wa adhabu kwa anayeitumia. , dhambi nyingine adhabu zimetajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:20 21 husuda, ulevi, ulafi, na...
  18. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Leo pale Kisutu kama sio busara za mahakama watu walikuwa wanaenda kula miezi sita gerezani kwa contempt of court

    Kuweni na adabu mahakamani, huwezi muona hakimu kakaa pale wewe unapiga makelele ya kijinga no reform no election. Wengi tumewahi kwenda jela kwa milio ya simu zetu tu, wengine tumekula vibano jela kwa kucheka mahakamani. Mahakama iheshimiwe, unajitia mwendawazimu sasa, umehangaika kimataifa...
  20. JamiiForums Tanzania Umeshindwa kuacha kula nini?? Binafsi nimeshindwa kuacha Kula idadi kubwa ya Tende licha kujua athari zake.

    Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende. Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende. Wewe umeshindwa kuacha kula nini ambacho unajua kabisa hakihitajiki kiliwe kwa wingi kama unavyokila??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…