Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa maskini, kuwa mtu wa kipato cha kati, na kuwa billionaire. Mfanyakazi wa kawaida wa kila siku anayeamka asubuhi kwenda kupambana chini ya jua akipata mshahara au faida ya duka, serikali inakata kodi yake kabla hata hajaigusa. Lakini matajiri wakubwa duniani...