kuku

  1. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ” Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    ๐Ÿฃ Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ Bajeti ๐Ÿ’ธ โ€“ Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: ๐Ÿ”น Chakula ๐Ÿ”น Dawa ๐Ÿ”น Vifaa ๐Ÿ”น Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 12 wafa kwenye vita vya kuku

    Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi. Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku. Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida yaanda kuku choma wa kienyeji kulisha wageni zaidi ya 6000 kuelekea Mei Mosi

    Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa ukiwa na kuku 100 wa mayai, unaweza kujipatia kati ya Tsh 300,000 hadi 720,000 kila mwezi?

    Hii ni fursa halisi kwa wale wanapenda ufugaji na kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa, hata kama wanaishi mijini au wana eneo dogo. Kuku wa mayai mwenye lishe bora anaweza kutaga kila siku au karibu kila siku. Kwa bei ya sasa ya yai (300โ€“400 TZS), unaweza kupata kipato kizuri, cha kila...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  6. JamiiForums Tanzania Kuku Makucha (Parody)

    Nimekutana na hii picha kwa kweli nimecheka sana. Na tunaishi wa watu wenye mawazo ya mbali sana. Don't take it serious it's for fun tu ๐Ÿ˜ƒ
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    ๐ŸŽฅ Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi hapa aina 12 za kuku wanaoongoza kwa utagaji mzuri zaidi

    Wakuu nimetota sehemu. Hivyo sote kwa pamoja tujifunze. Karibuni. Uzalishaji wa mayai ni sekta muhimu duniani kote, na kuku wa mayai wana nafasi ya msingi katika sekta hii. Kuna aina kadhaa za kuku wa mayai, kila moja ikiwa na sifa za kipekee. Katika makala hii, tutaangazia baadhi ya aina...
  9. JamiiForums Tanzania Fumbo hili la kuku lina maana gani nyumbani kwangu?

    Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba. Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike. dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu. Broiler...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

    Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
  11. JamiiForums Tanzania Kuku alitumbukia kwenye shimo la choo akakua mkubwa wamemtoa na watu wamemla

    Mtaani Kuna vituko sana sijui niseme ni uchu wa nyama ama ni sahihi.stori ipo hivi Kuna jamaa mfugaji mwenzangu yeye kuku wake alitumbukia kwenye shimo la choo Tena ni jogoo na alitumbukia akiwa mdogo basi ame survive kule ndani karibia miezi sita MPAka akaanza kuwika ndipo yule mwenye kuku...
  12. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kipelekea kufa

    Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
  13. JamiiForums Tanzania Uongo wa kutisha wafugaji hudanganyana kuhusu ufugaji wa kuku (3 itakuvunja mbavu)

    1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO๐Ÿงฌ au wamechomwa homoni!๐Ÿ’‰: Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni mambo Gani ya kuzingatia ninapoanzisha kijiwe cha kuku choma? ChatGpt anijibu Hivi Kwa kina!

    Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa.. Shuka nayo hapa......
  15. JamiiForums Tanzania Kuku wanauzwa

    Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha Karibuni sana๐Ÿ™
  16. JamiiForums Tanzania Je Unajua? ๐Ÿ”๐Ÿฅš Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Kuku wanahitaji takriban saa 14โ€“16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Habari yakO Mfugaji na mdau. Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na...
  18. JamiiForums Tanzania Mjue kuku aliyeishi muda mrefu bila kichwa

    Mike the Headless Chicken (Aprili 20, 1945 - Machi 17, 1947) [1] alikuwa kuku wa kiume wa Wyandotte ambaye aliishi kwa miezi 18 baada ya kukatwa kichwa, alinusurika kwa sababu sehemu kubwa ya shina lake la ubongo lilibakia sawa na hakuvuja damu hadi kufa kutokana na kuganda kwa damu. Baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza kuku aina ya broiler

    Nauza kuku 7500. Kuku Wana wiki 5 na wako 270. Kwa ambae anahitaji jamani mnaweza nitafuta Kwa namba 0624 85 57 57. Mabanda yapo mbezi beach salasala. Kwa maeneonya karibu delivery ni bure. Unapata kuku ameshachinjwa. Kama utataka mzima utapata Kwa 7000 kamili.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ