kuku

  1. JamiiForums Tanzania Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hamas hakamatwi kama kuku

    Nchi ya kiislam hawezi kiongozi wake kukamatwa kama kuku kama vile Maduro.
  3. M

    JamiiForums Tanzania The law is not neutral. Rais wa dola huru anakamatwa kama kuku mataifa mengine yapo kimya.Usa who are you?

    Marekani imekiuaka sheria za kimataifa. Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa. Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
  4. M

    JamiiForums Tanzania baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  5. JamiiForums Tanzania Unajua ni Faida kiasi gani umepata kwenye Ufugaji wa Kuku mwaka 2025 mzima?

    Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
  6. JamiiForums Tanzania At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

    Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
  7. JamiiForums Tanzania Tulipitia hili kosa kwenye Ufugaji wa Kuku ili wewe usilirudie

    Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi" Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako Chanjo ya Tsh 8,000 alafu ikakuletea hasara ya kupoteza kuku wenye thamani ya zaidi ya Tshs 1,000,000...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

    Hawa jamaa kufumba na kufumba hatutawasikia tena maishani. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
  9. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 za kutumia hii App kama unataka kuanza Ufugaji wa Kuku mwaka 2026

    Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila kuteseka kupata bajeti halisi, na bila stress ya kufuatilia kila kitu manual, basi hivi ndivyo unaweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
  11. JamiiForums Tanzania Sasa unaweza jifunza karibia kila kitu kuhusu Ufugaji wa Kuku ndani ya Fuga App!!

    Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika! JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida. Ni rahisi kusoma, kuelewa, na kutumia kila...
  12. JamiiForums Tanzania Kinachonisikitisha hotuba Imeisha lakini hajazungumzia UTEKAJI. Tujiandae kunyakuliwa kama kuku

    Wakuu, Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa. Lakini hola! Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania. Hii nchi imeoza to the core!
  13. JamiiForums Tanzania Tupike pilau la kuku na njegere

    Hell kwanza poleni na misuko suko ya uchaguzi mlio poteza wapendwa wenu poleni sana Hivi ndio viungo vyetu tulivyo tumia Weka sufuri jikoni mimi leo nilitamani tu kupikia jiko la mkaa so nikatengeneza mafiga nikaanza kupika Kwanza weka mafuta kwenye sufuria acha yapate moto kabisa Baada...
  14. JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  15. JamiiForums Tanzania Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
  16. JamiiForums Tanzania Tukubali kuendelea kuuawa na majanjawidi wa CCM kama kuku au tujitetee?

    Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama . Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao. Siku ya uchaguzi na baada ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Huu sasa si utekaji bali uchukuaji kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda

    "Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

    Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  20. JamiiForums Tanzania Singida: Nilitegemea kuona Viwanda vya Ufugaji kuku

    Habari Tanzania ! Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima? Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ? Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…