kukosolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kama Rais anajibiwa, kukosolewa na wakati mwingine kubagazwa Mwacheni Mzee Warioba naye apewe dozi. Demokrasia hiyo. Inahitaji uvumilivu.

    Hamjambo wote! 1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea. 2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI. 3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
  2. Luca Paguro

    Hivi Rais akiwa muislamu hapaswi kukosolewa?

    Samia anaongoza nchi vibaya ba ukimkosoa machawa wake watakuambia unamkosoa kwa sababu ni 1. Mwanamke 2. Mzanzibari 3. Muislamu Sasa hapa nina swali au maswali Tunakubali kuwa Rais naye ni binadamu kwa hiyo anaweza kukosea kama tu binadamu wengine bila kujali dini, jinsia wala kabila. Rais...
  3. Fbn

    Hivi najiuliza kama teknolojia zingekuwa Afrika sizani hata hivi tunavyovitumia vingekuwepo sasa kwa sababu ya tabia zetu kutokubali kukosolewa

    Ni metumia neno teknolojia ila nitabeba mambo mengi ambayo ndio yameleta maendeleo nchi nyingi.Ukiangalia kila siku simu yako janja apps zake au firmware zinaomba update kila siku sababu ya kurekebisha makosa ili uweze kutumia. Kwa mfano huu kama zingekuwa ndio afrika hakuna kitakachofanyika...
  4. W

    PreGE2025 'Kuruka ruka' kwa Mpina kumetusaidia kujua Rais pia anapenda mapambio, tusiwalaumu sana wakina Lucas

    Wakuu Kwa kilichotokea leo kati ya Luhaga mpina Mbunge wa Kisesa na Rais Samia ni dhahiri kuwa Rais pia anayafurahia mapambio anayoimbiwa. Mapambio kama vile "mama ametekeleza" "mama hatumdai" nk. Leo Rais anampangia mbunge kwamba ulipaswa kusema hiki kimejengwa kile kimeboreshwa nk. Kwa hiki...
  5. GENTAMYCINE

    Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
  6. Superbug

    Ni umri Gani ukiufikia unatamani jamiiforum members wakujue na zile serikali zisizopenda kukosolewa duniani zikufahamu kwasababu huna cha kupoteza?

    Muktadha wa Uzi wangu unajieleza. Nafafanua; Kuna watu wasiopenda wajulikane milele na kwanamna yoyote Ile kwamba walikuwa kwenye social media flani na mawazo haya ndio waliyoyatoa kwenye social media wakiwa hai au wamekufa. Swali langu je wewe ungependa uwe wazi na ujulikane kwenye social...
  7. JanguKamaJangu

    Profesa Anna Tibaijuka: Serikali inahitaji kukosolewa, sio unaenda Bungeni unabaki kupiga makofi tu

    Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia sakata la Katiba mpya nchini Tanzania kwa kusema ''Vijana mtachoka sana kuja kusubiri katiba mpya''...
  8. Pdidy

    TFF msiogope kukosolewa, acheni nidhamu ya uwoga, Wasemaji msihofu vitisho, semeni mapungufu ya marefa

    Kuna HABARI Agis habari WA YANGA amefungiwa miaka 2 Kifupi tu huu ni UWOGA na Tff mkumbuke hii n mwanzo tu hakuna watu WAACHA kuwasemea UPUUZI WENU na UPUUXI WA Refa Kama mlifikiri mkimfungia Ali kamwe mnaidhoofisha Yanga mmejichanganya wenyewe hakuna jipya WAsemaji adhabu ya kamwe...
  9. Tlaatlaah

    Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  10. sanalii

    Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  11. R

    Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

    Fuatilia mahojiano yanayoendelea wakati huu Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akizungumza kuhusu Matumizi salama ya mitandao ya kijamii. https://www.youtube.com/live/E13SKGnMr04?si=34HbpimcB7Avgfn- Matukio ya wananchi kukamatwa sababu ya kumkosoa kiongozi fulani, hii imekaaje...
  12. M

    Naomba kushauriwa, kukosolewa, na kuelekezwa

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi Fulani inayoshughulikia masuala ya Sheria, ninafamilia na ninazaidi ya miaka Zaidi ya Kumi kazini. Kielimu Mimi ni wamadarasa 11, haina yangu Ni mpole na mwenye huruma sana na nisiyependa utani kwa kuwa huwa mwepesi kukwazika. Katika maisha yangu ya Kazini...
  13. Mr Why

    Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki. Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani ya Kikristo pamoja na kiongozi wetu Papa Fransis kana kwamba dini zao zinawaumini Watakatifu pekee...
  14. B

    Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

    Safari ya kuelekea kwenye ukombozi ni ndefu na isiyopungukiwa machungu: Safari hiyo haiwezi kuwa siku zote ndani tu, ya yale ambayo tungependa kuyasikia. Ni lazima kuwa tayari kusikia habari mbaya. Tena hata zile zinazotuhusu sana. Ni lazima tukubali kukosolewa. Ni lazima tukubali kujikosoa...
  15. Nelson Jacob Kagame

    Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  16. B

    Hotuba ya Lissu Marekani - Part B

    Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii: "Umoja wetu - nguvu yetu." 𝗕. 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦U 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗢𝗟𝗘𝗪A CHADEMA Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa...
  17. BLACK MOVEMENT

    Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

    Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania. Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo...
  18. sky soldier

    Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
  19. NAMDORY

    Hivi humu ndani bado kuna wanaopinga kukosolewa kwa Serikali ya Awamu ya Tano?

    Jamani hakuna asiyejua kuwa Awami yatano ijapo na iliyoyafanya mazuri kwa wananchi, yote mazuri yanafutwa kwa mabaya waliyooyafanya kwa hao hao wananchi. Tulipoteza ndugu zetu, tulipoteza mali zetu, tulipoteza Uhuru wa kuongea. Pia tulipoteza uhaki wa uraia wetu, baada ya kuminywa demokrasia...
  20. R

    Rais Samia: Sisi ndani ya CCM tunaamini kwenye kukosolewa na kujikosoa

    Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe. Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki. Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
Back
Top Bottom