kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mmoja akamatwa akituhumiwa kumfanyia ukatili Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha tukio hilo. Akitoa taarifa hiyo, Kamanda wa...
  2. JamiiForums Tanzania Diwani akamatwa na mirungi zaidi ya kilo 100 Arusha

    MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG. Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inamshikilia Joe McCann, Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee kwa mahojiano

    Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa zilizopita baada ya kukutwa amejinyonga katika chumba cha hoteli. Akizungumzia tukio hilo leo April 14...
  4. JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kukamatwa na Mjeda baada ya kudoji kwata

    Nilimaliza form six nikaingia jeshini kwa mjibu wa sheria nilienda kibishi tu na nguo za kitaani fulani nyeupe na modo nyekundu na sendos za kishikaji fulani . Nimefika zangu Dodoma natokea mkoa x nikachukua usafiri wakunipeleka makutopora JKT -834KJ. Mimi sikwenda na mzigo wowote ile tumefika...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kenyatta akisafirisha Siafu 2000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  8. JamiiForums Tanzania Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya Zambia

    Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka. Katika msako huo, DEC ilikamata jumla ya kilo 1,380.8 za bangi, zikiwemo kilo 221.2 zilizofichwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja akamatwa na polisi, kwa tuhuma ya kumbaka mbuzi hadi kumsababishia kifo

    Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo. Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Vijijini akamatwa na polisi kwa tuhuma za kijinai ikiwa ni pamoja na uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata na kumshikilia Bi. Getruda Japhet Lengesela, Mkazi wa Nsalala- Mbalizi na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Wilaya ya Mbeya Vijijini. Taarifa kwa Vyombo vya habari iliyotolewa leo Ijumaa Januari 23, 2026 na...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Victor Mhagama akamatwa na TAKUKURU akiwa na Tsh. Milioni 500

  12. W

    JamiiForums Tanzania Mkenya akamatwa na Tsh. 91.2 Milioni akidaiwa kuiba benki mpakani Namanga

    Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Denis Ogesa (28), mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunja, kuingia na kuiba fedha katika benki ya Azania, tawi la Namanga wilayani Longido. Ogesa anadaiwa kukamatwa wakati akiendelea kutekeleza tukio hilo la kihalifu katika benki hiyo ambapo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Maswa aagiza waliogoma kurejesha mkopo wa asilimia 10% kukamatwa

    Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi la Uvamizi wa Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu

    Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu. Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria

    Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
  16. JamiiForums Tanzania Video Wananchi wa Venezuela Wakishangilia kukamatwa kwa Raisi wao na Marekani

  17. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Maduro ni mchongo uliotengenezwa!! Mchongo mzima ni huu hapa!

    Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa ni kukamatwa kwa Maduro! Ila ukitumia jicho la tatu kwa kufuata mtiririko ufuatao utagundua ni mchongo ili kuipa hadhi Marekani pamoja na Trump! Hii ni jana: Maduro says Venezuela open to US talks on drug trafficking...
  18. JamiiForums Tanzania MSIGWA NA MAROBOTI: Wanaotukana na Kushangilia Kukamatwa Mwandambo Ndio Bots Zenu!

    Mambo vipi wana JF.... Wadau, hivi karibuni Msigwa na wenzake wanalalamika kuwa wanaotukana serikali mitandaoni ni "maroboti" waliotumwa na wapinzani ili kuchafua picha. Lakini ukiangalia vizuri post ya Jamii Forums Instagram kuhusu kukamatwa kwa Mzee Clemence Mwandambo, wanaoshangilia na...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani na mshirika wa Kabila, Ramazani Shadary akamatwa Jijini Kinshasa

    : Katibu mtendaji wa chama cha PPRD cha rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, Emmanuel Ramazani Shadary amekamatwa jijini Kinshasa. Taarifa ya chama cha PPRD imesema kukamatwa kwa Shadary na upekuzi wa usiku kwenye makao makao makuu ya chama ‘‘vinatia wasiwasi mkubwa‘‘. Shadary, aliyewahi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbe wahalifu wa makosa dhidi ya binadamu wanaweza kukamatwa na Interpol

    Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata. Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol. Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…