Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,934
- 5,525
Nilimaliza form six nikaingia jeshini kwa mjibu wa sheria nilienda kibishi tu na nguo za kitaani fulani nyeupe na modo nyekundu na sendos za kishikaji fulani .
Nimefika zangu Dodoma natokea mkoa x nikachukua usafiri wakunipeleka makutopora JKT -834KJ.
Mimi sikwenda na mzigo wowote ile tumefika getini tu kwa mbele kidogo ukivuka hospital ya heshi karibu na duka la jeshi tukaambiwa turuke kichurachura hadi uwanja wa maxoezi asee wengine walikuwa wanaanguka na matranka yao kichwani mimi naruka zangu kichurachura ila maboti nilipigwa sana makofi ya mgongo kama yote yaani hiohio siku nilitamani nigeuze nirudi nyumbani .
Kuna mjeda aliniona nimevaa kijanjajanja akaniita nimefika tu nikala mjeki kofi la kipara asee , kwanini hujavaa trek nakamwambia mimi sijanunua nitanunua hapahapa mzee kashatuma hela ipo kwenye simu, ivi unavuta bangi sio ?nikamwambia situmii bangi ,Baba ako anafanya kazi gani? Mtumishi wa serikali nikamuona amepoa kidogo akaniambia ondoka hapa .
Nilipangiwa A COY kipindi hicho kimshati yupo, sir general, service man zungu, na rich itaendelea kwaleo naishia hapa