Kenya 2022 Raila Odinga kukagua Server za Tume ya Uchaguzi leo

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mahakama ya Juu imeamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iruhusu Azimio la Umoja kufikia seva zinazotumiwa kutuma matokeo katika Kituo cha Kitaifa cha Kujumlisha Kura ikiwa ni pamoja na kutoa nenosiri la usimamizi wa mfumo

Zoezi hilo limeratibiwa kufanyika leo, Jumatano, Agosti 31, katika makao makuu ya IEBC ikiwa ni sehemu ya uendeshaji wa shauri la Raila Odinga la Kupinga Matokeo ya Kura ya Urais

Wakati huo huo, IEBC inatayarisha masanduku ya kupigia kura kwa vituo 15, yatakayofunguliwa kwa ukaguzi, kuchunguzwa na kuhesabiwa upya kama Mahakama ilivyoamrisha Agosti 30

..............................................

The Supreme Court ordered the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) on Tuesday to grant the Azimio la Umoja coalition access to servers used in transmitting results at the National Tallying Centre.

The IEBC was ordered to provide supervised access to any server used to capture images of Forms 34C at the commission's nerve center during a Pre-Trial conference on the presidential election petition.

"That IEBC be compelled to give the applicants supervised access to any server(s) at the National Tallying Centre for storing and transmitting voting information and which are forensically imaged to capture a copy of the Form 34C which is the total votes cast," read court documents.

The court also ordered IEBC to provide copies of its technology system security policy, which included their password policy, password matrix, and system administration password owners. The ruling also granted access to the servers to petitioners Youth Advocacy for Africa (YAA) Peter Kirika, human rights activist Khelef Khalifa, George Osewe, Ruth Mumbi, and Grace Kamau.

The exercise is scheduled to take place today, Wednesday, August 31, at the IEBC headquarters in Nairobi's Anniversary Towers. Meanwhile, the IEBC is preparing ballot boxes for 15 polling stations, which will be opened for inspection, scrutiny, and recount.

Source: Citizen Digital
 
mzee Odinga apewe nafasi ya kujiridhisha ila alipolala Odinga sasa hivi Ruto alianza kulala hapo tangia miaka ya 90's huko.
Ruto na Uhuru wanajua nini wanafanya ila mzee masikini yeye hajui.
 
Bora wenzetu walau wana hata hiyo haki ya kukagua mifumo ya taasisi zao kwa uhuru na uwazi, sisi hapa hata kuongea tu kwamba matokeo yalichezewa - yaani ongelea ukiwa umechungulia shimoni ili usisikike..

Matokeo yakishatangazwa tu yanakuwa taboo, yaani ni Agano kwenye vitabu vitakatifu - tupo nyuma sana watanzania - hii aibu kubwa.
 
Tanzania huwezi kuta hizi haki...

Jecha alichofanya Zanzibar 2015 ni zaidi ya comedy 😂😂

2020 alichofanya magu ni zaidi ya uhuni
 
Back
Top Bottom