kukabiliana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuelezea stress zako na njia unazotumia kukabiliana nazo

    Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe. Just imagine umesota sana mpaka ukapata kazi mambo yako yapo vizuri, mke wako kajifungua mtoto mzuri wa kike. Bila kutarajia boss...
  4. JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na mabomu ya kutoa machozi

    Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye hewa safi haraka iwezekanavyo Osha uso wako kwa kutumia maji ya baridi. Pia, unaweza kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuumwa na Nyoka, Takwimu madhara na njia za kukabiliana na tatizo

    🐍 Kila mwaka, karibu watu milioni 5.4 huumwa na nyoka duniani kote, na kusababisha zaidi ya vifo 800,000 na kuacha mara tatu ya idadi ya walionusurika wakiwa na ulemavu. Ugunduzi wa haraka wa dawa za kuua viini unaweza kuokoa maisha na kupunguza madhara ya kiafya ya muda mrefu. Ulemavu kutokana...
  6. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Shilingi Bilioni 830 Kukabiliana na Athari za El-Nino

    ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL - NINO Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya na kwa ubora barabara na madaraja yalioathiriwa na mvua za El -Nino na kimbunga Hidaya nchini kote...
  7. JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kukabiliana na hawa polisi nje ya utaratibu wa sheria?

    Habari wakuu. Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na kumfikisha kwenye sheria. Kuteka watu na kuwapoteza au kuwaua,kupokea rushwa na kukwepa uwajibiakaji...
  8. JamiiForums Tanzania Ili kukabiliana na ongezeko la ajali barabarani nashauri serikali iwe inafungia kampuni zinazomiliki magari yanayosababisha ajali kwa miezi 6 tu.

    Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya. Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa. Leo napo morogoro kuna ajali ya bus na lori imetokea na kuua tena watanzania. Serikali kama imeshindwa kuweka utaratibu wa kuwadhibiti...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kimkakati: Red brigade wapewe mafunzo ili kukabiliana na dhuluma ya polisiCCM.

    Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa. Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba. Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imejiandaa vipi kukabiliana na engua engua?

    Salaam wanajukwaa, Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo mazito pasipo woga wala ajizi. Kwa muda mrefu sana CCM ikianzia kipindi cha JK hadi kufikia kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema. Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran. Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za...
  12. JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  14. JamiiForums Tanzania NIC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi Mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi wa SGR

    NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR NA NIRC, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya kimfumo na kiteknolojia yanahitajika katika Wizara ya Ardhi ili kukabiliana na kero za ardhi

    Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo 2050: Miundombinu ya kukabiliana na mafuriko isanifiwe kiuhandisi kuakisi ongezeko la watu na ukuaji wa makazi nchini

    Utangulizi: Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
  18. JamiiForums Tanzania Waislamu wanawajibika kukabiliana na ukweli huu mchungu

    Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs) Hizo darsa zinapatikana hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Mabwawa ya Tanzania hayajengwa kukabiliana na mafuriko, bali kuzalisha umeme tu

    Mto Rufiji, unaoishia katika pwani ya kusini-mashariki mwa Tanzania, ulikumbwa na wimbi kubwa la mafuriko Aprili 2024. Mafuriko haya yalisababisha vifo vya kusikitisha na kuathiri watu 88,000. Zaidi ya hekta 28,000 za mazao ziliharibiwa. Tanzania ina historia ndefu ya ujenzi wa mabwawa, kuanzia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…