Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za tuzo za Oscar mwaka huu.
"Ninaitisha mkutano wa bodi kwa Ijumaa asubuhi, Aprili 8, saa 9:00 asubuhi...
Hatima ya maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini, marehemu Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, Miriamu Mrita itajulikana leo Jumatatu Februari 21, 2022 wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake.
Miriam ambaye...
Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi.
Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
Habarini wadau wa humu.
Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.
Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.
Wasalamu
Ladyf
Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato.
Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila...
Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
Ilikuwa ni pale Moshi ambapo mashuhuda walidai wakati wanakimbilia getini ili watoke nje kuna watu waliwazuia na walipoanguka chini walipigwa mateke na makofi.
Muhujumu wa mkutano ule wa Injili yu mbioni kuumbuka.
Eid Mubarak!
Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
KWA NINI NI RAHISI MWANAMKE KUGUNDULIKA ATOKAPO NJE YA NDOA?
Hakika mwanamke ni rahisi sana kugundulika endapo anatoka nje ya ndoa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amemuumba mwanamke aishi na mwanamme mmoja tu, na hakumpa kabisa uwezo wa kuonyesha mapenzi kwa watu wawili tofauti kwa kiwango sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.