Kujulikana ni raha au karaha?

Siku ukitoka guest asubuhi kila mtu anakuangalia.. kila mtu atajua

Ukisimama na mwanafunzi watu wanakukodolea macho wanaanza tafsiri zao

Kumbe mwenyewe unamjulia hali unaamuliza za shule

Umaarufu jau ....
 
Inategemea unajulikana kwa mambo gani na watu gani wanaokujua. Kama kujuiikana kwa mazuri na watu uliosoma nao, unaofanya nao kazi kwa namna moja au nyingine au biashara basi kujulikana ni BOMBA SANA ila kama unajulikana kwa mabaya hiyo ni NOMAAAA.

Habarini wadau wa humu

Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa
Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito

Wasalamu
Ladyf
 
Inategemea unajulikana kwa mambo gani na watu gani wanaokujua. Kama kujuiikana kwa mazuri na watu uliosoma nao, unaofanya nao kazi kwa namna moja au nyingine au biashara basi kujulikana ni BOMBA SANA ila kama unajulikana kwa mabaya hiyo ni NOMAAAA.
Ndo maana nasema KUJULIKANA kuna raha au karaha yake kutokana na vile unavyojulikana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna wakati inaudhi lakini una haraka zako kitaa kila dakika mbili unasimamishwa ili mtu akusalimie. Umeingia mahali kwa lunch/dinner basi katika watu 10 wanaoingia pale 7 wanataka wakusalimie ile ya kushikana mikono. Huwa inaboa.

ndo maana nasema KUJULIKANA kuna raha au karaha yake kutokana na vile unavyojulikana
 
Kuna wakati inaudhi lakini una haraka zako kitaa kila dakika mbili unasimamishwa ili mtu akusalimie. Umeingia mahali kwa lunch/dinner basi katika watu 10 wanaoingia pale 7 wanataka wakusalimie ile ya kushikana mikono. Huwa inaboa.
Muda si mfupi tumtarajie MSHINDI WA KUWA BALOZI WA JF hapa akijulikana hapa itakuwa karaha au raha kwake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom