kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini kitaleta bahati nzuri au jinsi ya kujua nambari yako ya bahati?

    Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na mafanikio zaidi na kuvutia. Kwa tarehe ya kuzaliwa Tatu - furaha kwa mtu aliyezaliwa siku hii. 1 -...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ili kujua idadi sahihi ya wakazi na makazi ya watu; Mfumo wa uhesabuji sensa ya watu na makazi watumike mabalozi na viongozi wa mtaa?

    Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA. Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla. Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa. Natoa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu. Naomba kujuzwa namna ya kupata

    Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, arusha Tanzania
  5. JamiiForums Tanzania Urgent: Ninahitaji ID COPY ya NIDA ,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata

    Urgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata. Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, Arusha tz
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa anxiety disorder?

    Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi. Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa wakala baada ya kumaliza wakati naondoka nikamuona mtoto mmoja wa ile familia akiwa mazingira yale...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Habari wataalam wa Mambo naomba mwenye kujua faida za kusoma course ya Postgraduate diploma in Technical and Vocational education teacher ya Open

    Mimi Ni mwanafunzi nasomba PGD in Technical and Vocational education teacher ya Open University ! Je hi Ni PGD in education ipi ni bora zaidi?
  8. JamiiForums Tanzania Leo Simba SC 'Wamenivuruga' naombeni kujua 'Kick Off' ya Mechi ya Yanga SC na Vipers FC ni Saa ngapi?

    GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya hawana, hawajui Mpira na hata Mechi zao zote za Pre Season wamecheza na Wapishi na Wachezaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kihusu mikopo.

    Iko hivi kuna rafiki yangu alikopa kwenye hizi microfinance kwa makubaliano ya kulipa baada ya mwaka mmoja na aliweka nyumba kama dhamana ,lakini mambo yalimwendea ndivyo sivyo pesa ikavurugika,sasa jamaa baada ya kuona hivyo akakimbia bila hata kunishirikisha. Msaada wangu kujua kisheria:-...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu kwa Watoto wenye Usonji na kujua namna ya kuwasaidia

    UTANGULIZI. Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika nyanja mbalimbali Kama upande wa afya na elimu pia. MAANA YA USONJI/AUTISM. Ni Changamoto inayompata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana

    Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani. Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
  13. JamiiForums Tanzania Alikuwa akinicheka naogopa wanawake lakini alikuja kunikasirikika baada ya kujua nimetoka na mwanamke wake

    Niaje wakuu Hiki kisa Cha muda kidogo pia lengo la kuleta mkasa huu ni kuonyesha tu jinsi tukio hili la bila kupangwa lilivyo niletea heshima niliyokuwa navunjiwa Kwanza mimi kiasili nina aibu kiasi kitu ambacho kilisababisha nisiwe mchangamfu sana kwa wanawake lakini sio kwamba nilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    HABARINI Ninashida ya kujua nafasi za kazi zinazopatikana kwenye kiwanda cha kusindika maziwa mfano benki kuna afisa mikopo na wenge. Je, kwenye kiwanda cha maziwa ni nafasi gani zipo? Asanteni
  15. JamiiForums Tanzania Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

    Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
  16. JamiiForums Tanzania Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

    Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo... Mimi nilicho kiona ndio hicho hapo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  19. JamiiForums Tanzania Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

    Habari wana JF Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line. Siku nikiwa ofisin saa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Mwanadiplomasia?

    Wapendwa nimekuwa nikilisikia mara nyingi hili neno lakini nashindwa kuelewa vema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…