kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wanawake ni wabaya kiasi gani ,angalia series ya SILO

    Kuna series moja maarufu inayotrend duniani kwa sasa inaitwa SILO , hii series imeanza kutoka 2023 mpaka sasahv inaendelea iko season 3 ambayo imetoka mwaka huu 2026. Kuna familia moja ya Black , mume anaitwa robert na mkewe camille, wote ni watu weusi. Kinachosikitisha ni kwamba mwanaume hapo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Aulizaye ataka kujua

    Zamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa jf unajiskiaje kujua hakuna mali humu?

    Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita. Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu. Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
  6. JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA UWEPO WA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.

    Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo! Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama. Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za hati upande wa Premium, ni asilimia ngapi?

    Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua atujuze.

    Hili tukio linalosambaa kwenye mitandao baada ya mechi ya yanga chanzo chake ni nini hasa? Mana yanga ilishinda, Vipi tena inadaiwa mtu wa yanga ampige kocha wa timu pinzani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua wimbo huu unaitwaje

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sasa tumeelewa Nchimbi alisema Watanzania tupiganie Katiba baada ya kujua CCM wanatumia Octoba 29 kama kizuizi cha katiba mpya, wakamfukuza!

    Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM; CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
  14. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

    Karibuni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

    Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi. Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

    Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia. Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua nini maana ya kuwa na “Kesi ya kujibu” katika sheria

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua ni nini maana ya kesi ya kujibu kama ilivyotokea leo kwa mghwai? LONDON BOY
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kujua mimi ni wapekee

    Mimi ni mtu wa kipekee, na hii ndiyo sababu nimeamua kueleza jambo hili muhimu kwa watu wenzangu. Napenda sana kujifunza; sikupenda kamwe kuwa mjuaji au mtu mwenye kiburi cha maarifa, hivyo mimi huchukua muda wangu kujifunza (I take my time to study). Kupitia kudadisi na kutaka kuijua dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…