kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutotimia kwa ndoto yangu jana ya Mwigulu Nchemba kutangaza kujiuzulu hakunishangaza!

    Toka siku niliposikia kuwa WIZARA ya Fedha ingetoaa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki, nimekuwa nikiota ndoto. Kuna ndoto na kuna ndoto. Kuna ndoto za usiku na kuna ndoto za mchana. Ndoto za usiku ama ni za kuleta tumaini au kutia hofu na ingawa kwa muda huweza kuleta tumaini...
  2. JamiiForums Tanzania Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu ya Misri ajiuzulu

    Tarek Amer aliyebakiza mwaka mmoja kumaliza utumishi wake kama Gavana wa Benki Kuu, amejuzulu leo na kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah el-Sissi. Kujiuzulu kwa Amer kunakuja wakati serikali ikiwa katika mazungumzo na Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF kwa ajili ya mkopo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Morocco ashinikizwa kujiuzulu kutokana na Kupanda kwa bei ya Mafuta

    Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika Licha ya Serikali kusisitiza kuwa inafanya kila iwezalo kupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa ajiuzulu

    Rais Gotabaya Rajapaksa amewasilisha barua ya kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardenena. Taarifa ya Bunge inasema wasilisho limefanya kupitia Baruapepe Inadaiwa ametuma Barua hiyo baada ya kuwasili Singapore. Taifa hilo limesema Rajapaska ameruhusiwa kuingia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa Sri Lanka akubali kujiuzulu

    Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo hilo. Tamko hilo limetolewa saa kadhaa baada ya waandamanaji kuvamia makazi yake na kuingia hadi ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

    Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake aliyojiwekea. Boris Johnson amesema kuwa inamuuma kupoteza kazi bora kabisa katika Dunia Boris Johnson...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  9. JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ajiuzulu Ubunge

    Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ametangaza kujiuzulu Ubunge akisema kuanzia sasa hataki kujihusisha na shughuli zozote za Serikali Basil Rajapaksa ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Fedha anakuwa ndugu wa pili wa Rais kujiuzulu kufuatia mdororo wa kiuchumi ambao ulisababisha vurugu na...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  12. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu mwingine ajiuzulu Vodacom. Mtandao unaelekea shimoni?

    Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose amejiuzulu nafasi hiyo ambapo atatizimiza miezi nane tangu mtangulizi wake, Hisham Hendi nae ajiuzulu kwenye nafasi hiyo. Sio ishara njema kwa kampuni kubwa kama Vodacom ambayo watu wanaota kuiongoza. Mwaka jana Vodacom ilisitisha...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sri Lanka awasilisha barua ya kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu uhuru. - Kwa majuma kadhaa sasa nchi hiyo imekumbwa na vurugu kutokana na maandamano mbali mbali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ivory Coast: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake. Rais Alassane Ouattara amekiri ukweli wa taarifa hiyo maamuzi ambayo yalitangazwa baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri ambapo alikubali kujiuzulu. Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 13, 2022...
  15. JamiiForums Tanzania Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

    Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

    Pamoja na kukwama kwa wanajeshi wa Urusi kusonga mbele vitani nchini Ukraine , Rais Putin anaonekana amepata pigo kutoka ndani ya Kremlin yenyewe. Mmoja wa washauri wake, Anatoly Chubais, amejiuzulu kutoka jukumu lake kama mjumbe wa kimataifa - afisa mkuu zaidi kujiuzulu tangu kuanzishwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022 “Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea. “Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  19. JamiiForums Tanzania Bosi GSM atangaza kujiuzulu uenyekiti na ujumbe wa Taifa Stars

    Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars. Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan Chonjo ambaye amezungumza na wanaandishi wa Habari leo Jumatatu Februari 7, 2022. Ameeleza kuwa Ghalib...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ni siku za mwisho mwisho za IGP Sirro kuendelea kushika wadhifa wake?

    Huna sababu ya kuwa mtabiri au kwa jina lingine anaitwa mnajimu, kujua hatma ya yatakayomkuta IGP Sirro Katika siku za karibuni. Hilo jambo ni dhahiri, aidha atajiuzulu kwa aibu au atafutwa Kazi na mteule wake! Hatua ya Mheshimiwa Rais kuunda Tume yake huru kwa ajili ya kuchunguza Mauaji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…