Ivory Coast: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
498
633
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake.

Rais Alassane Ouattara amekiri ukweli wa taarifa hiyo maamuzi ambayo yalitangazwa baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri ambapo alikubali kujiuzulu.

Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 13, 2022 Jijini Abidjan.

Achi alikuwa Waziri Mkuu wa tatu katika taifa hilo la Afrika Magharibi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Awali, Patrick Achi alikuwa Katibu Mkuu wa Rais wa Ivory Coast, aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu mnamo Machi 8, 2021 baada ya Hamed Bakayoko aliyefariki mwaka 2020.

Chanzo: Aljazeera
 
Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
20,140
22,957

Vipi hajaficha pesa Switzerland na Dubai
 
SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
6,166
6,062
Ni mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wetu ambao wanajiona hawajatimiza majukumu yao ipasavyo. sio kusubiria utumbuliwe au ushinikizwe.
Sahau kwa viongozi wa bongo

Hakuna mwenye ubavu huo zaidi ya lowasa maana wanachofikiria ni pension na marupurupu.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,813
12,408
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake.

Rais Alassane Ouattara amekiri ukweli wa taarifa hiyo maamuzi ambayo yalitangazwa baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri ambapo alikubali kujiuzulu.

Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 13, 2022 Jijini Abidjan.

Achi alikuwa Waziri Mkuu wa tatu katika taifa hilo la Afrika Magharibi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Awali, Patrick Achi alikuwa Katibu Mkuu wa Rais wa Ivory Coast, aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu mnamo Machi 8, 2021 baada ya Hamed Bakayoko aliyefariki mwaka 2020.

Chanzo: Aljazeera
Waziri wa 3 katika kipindi cha miaka 3,,hii sio Nchi ila na shithole
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom