Katika Mkutano wa 17 wa Kilele wa Viongozi wa Kundi la Nchi 20 (G20) uliomalizika hivi karibuni nchini Indonesia, Rais Xi Jinping wa China, kwa niaba ya China, kwa mara nyingine tena, alieleza kuunga mkono Umoja wa Afrika kujiunga na G20. Kama taasisi ya kikanda inayowakilisha idadi kubwa zaidi...