kujitegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Ukikua utajua wale uliokuwa unawategemea wakusaidie kumbe nao wanahitaji Msaada. Jifunze kujitegemea

    UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo. 2. Ndio maana maisha yetu...
  2. Kimbesa11

    Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  3. CHAGOSI GERALD

    MAKALA YA NANE “JKT: Injini ya Kujitegemea- Kutoka Ardhi, Viwanda Hadi Mawazo

    Ndugu zangu, Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo. Hapa...
  4. Sister Abigail

    Mnaopanga kuandamana tena

    Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
  5. N

    Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital

    Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba kujua kama yupo tuwasiliane.
  6. Doto12

    Namna nilivyoondoka nyumbani Kwa wazee mpaka kujitegemea

    Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye tulikuwa na ukaribu upande wa mama. Tumuite Mzee Hasan, Mzee wangu huyu alikuwa akiishi peke yake...
  7. ngara23

    Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea. Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi Kijana anafikia...
  8. P

    Safari ya Tanzania kuelekea kujitegemea

    Mapema baada ya uhuru mwaka 1961, Tanzania imekuwa ikiimba wimbo wa kujitegemea kiuchumi na kudumisha ujamaa. Falsa na sera ya kujitegemea ilipamba moto zaidi baada ya kutangazwa kwa Azimio La Arusha mwaka 1967 ambalo lilizingatia mambo kadhaa ambayo waliamini yangetuwezesha kufikia malengo ya...
  9. L

    Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  10. Wizara ya Ardhi

    Mhandisi Sanga akutana na kuwapongeza mawakili wa kujitegemea kwa kuongeza kasi katika kumaliza mashauri katika mabaraza ya ardhi na nyumba

    . Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza mlundikano wa mashauri katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Dodoma. Mhandisi Sanga ametoa pongezi...
  11. L

    "Vita vya ushuru" vya Marekani vinasukuma nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutafuta maendeleo kwa kujitegemea

    Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
  12. Last_Joker

    Kuondoka Nyumbani Mapema: Ni Uamuzi wa Busara au Kudai Uhuru wa Kijinga?

    Siku hizi, kuna mjadala mzito kwa vijana: "Kaa nyumbani mpaka ujiweke vizuri kifedha au ondoka mapema ili upambane na maisha?" Wazazi wetu walikuwa wanaheshimu sana mfumo wa mtoto akae nyumbani mpaka aolewe/aoe au mpaka ajenge kwake. Lakini kizazi cha sasa? Mtu akishapata mshahara wa kwanza au...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Baadhi ya Mashirika Umma yanayojiendesha kibiashara na yalitakiwa kujitegemea

    BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli...
  14. W

    Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  15. G

    Nilivyoweza kujinasua kwenye gharika la ndugu omba omba, Nilionekana mbahili lakini wanaanza kunielewa, pesa yangu siwezi kuitoa bila uwajibikaji

    Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama hadi wa mke. Katika vitu ambavyo ningependa kuvijua tangu mwanzoni ni hivi Usije kutaja kipato...
  16. Waufukweni

    Dira ya Maendeleo 2050: Tanzania Kuelekea Taifa Jumuishi, lenye Ustawi na Kujitegemea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
  17. Massawejr

    Nafasi ya upendeleo

    Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea. Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
  18. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  19. ranchoboy

    Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  20. emmarki

    Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
Back
Top Bottom