kujitambua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

    .Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile .Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi .Ununue Bidhaa...
  2. Dogoli kinyamkela

    Ulimwengu wa kujitambua

    Vipi nikikuambia... ulimwengu hausogei hadi WEWE usogee? 🌌 Watu wengi husubiri ishara, hatima, au ruhusa. Lakini ukweli ni huu—WEWE ndiye nguvu ya kutenda. Maisha huinama kulingana na mitetemo unayoitoa. Funga macho kwa sekunde moja... tafakari ukitamka neno, halafu kila kitu katika uhalisia...
  3. Rorscharch

    Nashangaa Wale Wanaoshobokea Waarabu — Hivi Mnajua Kwao Hamuoi Wala Hamuolewi? Mnatambua Kwamba Kuoa na Kuolewa Nao ni Kuchafua Koo Zao na Damu Zao?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
  4. Prof_Adventure_guide

    Utaifa, Utalii na Uwezo wa Kujitambua: Safari ya Ndani ya Tanzania Yetu

    Ndugu wanajamii wa JF, Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu. Katika ardhi hii ya kheri, tuliyoirithi kwa jasho na damu ya wazalendo, kuna maajabu yasiyoandikwa vitabuni wala kueleweka...
  5. chiembe

    Hawa ndio wakenya ambao chadema wanawasifia kwa kujitambua,

    Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
  6. Tauceti Rigel

    Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  7. Knock life

    Ciza wa CloudsFM ndo mtamgazaji mwenye kujitambua .

    Kupitia kipindi cha scanning anatuonesha jinsi wanasiasa wetu walivyo vilaza.
  8. Dogoli kinyamkela

    Somo la kujitambua: Mimi ni nani na nimekuja kufanya nini duniani

    SOMO LA KUJITAMBUA: MIMI NI NANI NA NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀 1. UTANGULIZI Kujitambua ni hatua ya kwanza ya uamsho wa kiroho. Asiyejijua yeye ni nani, hawezi kujua anapotoka, anakokwenda wala nguvu alizo nazo. Dunia hii si mahali pa bahati tu – kila roho...
  9. The redemeer

    Mtu na kujitambua

    MTU NA KUJITAMBUA. Watu wengi siku za Leo,wamekuja na shauku ya kutaka kujitambua,je twajua au hatujui maana yake?. Utambuzi wa mtu upo wa Namna nyingi sana. Kuna kujitambua kifikra,Kuna kujitambua kiroho ,Kuna kujitambua kiakili,Kuna kujitambua kimwili nk nk. Sasa ninachotaka kuongelea ni...
  10. Clayton Paul

    Vikubadilishe au vikuuwe

    Kwanini Hatujitambui ? Hili ni swali lilionisumbua kwa kipindi kirefu. Nimekuwa nikikusanyishwa taarfia Toka utoto ila sikuwa naelewa nitazitumia wapi. Kama mtoto nilipenda kuzikusanya kwa Matumizi ya baadaye maana kila kitu kwangu kilionekana kipya. Lakini si Mimi pekee Mana mtindo huu...
  11. mr pipa

    Taratibu wanaume kapuku mtaa za kujitambua

    ,👇👇👇 kama tajiri tu anafanya hivi wewe kapuku maskini ni nani hapa duniani?!?
  12. KENZY

    Msitafute mwanamke alietulia tafuteni mwanamke anaejiheshimu na kujitambua!.

    Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!. Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo...
  13. Rorscharch

    Hakuna Anayekufikiria: Fanya yako

    Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa katika ujana wangu uliojaa wasiwasi na mashaka, nilikutana na mwanamke mzee mwenye busara nyingi, aliyekuwa na umri wa miaka sabini na tano. Alinipa nasaha za kipekee ambazo nimezihifadhi moyoni mpaka leo: "Katika ujana wetu wa miaka ya ishirini na thelathini...
  14. Richard

    Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  15. Manyanza

    Wewe ni Wewe!

    🫵Wewe ni wewe katika maisha ni wewe ukilia ni wewe ukifurahi ni wewe ukibakwaa ni wewe maana kila kitu kipo juu yako ni wewe. 🫵Ukiwa bora ni wewe ukishindia dagaa ni wewe jikubali katika haya maisha ni wewe acha kudandia mtumbwi ambao sio wako wewe. 🫵Naongea na wewe maana unaiga maisha yana...
  16. Mr mutuu

    Wamasai kuweni makini Zanzibar, mmewekewa chambo mnavutwa mnavutika tu bila kujitambua

    Politics. Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar...
  17. Roving Journalist

    RPC Kuzaga: Malezi Bora na Elimu ya Makuzi vinasaidia kuwajenga Watoto kujitambua na kujitathimini

    Wazazi, Walezi na Jamii wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utoaji wa malezi bora na elimu ya makuzi kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kujitambua, kujithamini na kujiepusha na uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia. Rai hiyo imetolewa Desemba 27, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  18. sky soldier

    Sleep walking: Tatizo la kuamka ukiwa usingizini na kuanza kutembea ama kufanya vitendo bila kujitambua

    Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
  19. Inkotanyi 94

    Mtaala wa familia: Wazazi tunaopenda elimu ya kujitambua tupeane mbinu

    Nawasalimia nyote katika jina la Nguvu Kuu iletayo uzima na kifo. Hoja yangu ni mbinu za nyakati hizi kuwafanya watoto wetu wapanue uwezo wa kujitambua na kujitegemea katika kukabiliana na dunia ya sasa. Hapa naongelea wazazi wanaojua hasa nini maana ya kulea. Wanaotafsiri upendo...
  20. Last Philosopher

    Kuwa na maarifa tu, si kujitambua

    Maendeleo ya mwanadamu yamebadilisha mfumo wake wa maisha imekuwa kila mtu ana hitaji maarifa katika utendaji wake wa kazi ili apate matokeo ya kufanikiwa. Kupata maarifa imekuwa kitu chakwanza kwenye ukuaji wa mtu yeyote. Tumekuwa bize na kutafuta maarifa ili kutimiza matakwa ya maisha yetu ya...
Back
Top Bottom