kujifunza

  1. JamiiForums Tanzania Wanadamu wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mbwa Mwitu!

    Wakati wa vita, Mbwa Mwitu wa kike hukaa karibu chini ya wa kiume, kwa utulivu mkuu na usio na hofu. Anamwamini kabisa na anajua nguvu zake zitawalinda wote wawili. LAKINI...! Mbwa mwitu wa kiume wana sheria moja wanayoiheshimu sana ...! Hawadhuru wanawake kamwe; hivyo mbweha jike yuko salama...
  2. JamiiForums Tanzania Mzize, ongeza bidii kujifunza

    Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira portal wana cha kujifunza kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa magereza.

    Habari za asubuhi ndugu. Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu. Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

    Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani. Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  7. JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Arusha ninaweza kujifunza lugha ya kichina?

    Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha. Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
  9. JamiiForums Tanzania Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote

    Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako. Mdharau asili hufa kikatili
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuuliza ndiyo kujifunza nisaidieni hili swali mliokwisha fika nchi za wazungu

    Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika? Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk * ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze Shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Lipo la kujifunza

    Wakati wa wizi wa benki katika jiji la New York, jambazi mmoja alipiga kelele akiwaambia wafanyakazi wa ndani ya benki: “Msiondoke! Pesa ni mali ya serikali, lakini maisha yenu ni mali yenu.” Basi kila mtu akajilaza chini kwa utulivu kabisa... ➡️ Hii inaitwa: "Kubadilisha mtazamo wa fikra."...
  13. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Simulizi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe moja kwa moja. Sehemu ya kwanza . 1. Namna majini walivyoshiriki katika makuaji yangu . Tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikishuhudia vivuli vilivyokuwa vikinifata kila nilipokwenda, kiukweli nilikuwa nikiogopa sana ingawa nilikuwa simwambii mtu yeyote...
  14. JamiiForums Tanzania Vita ya serikali na kanisa; je, Tanzania ina cha kujifunza kutoka Uingereza

    Tarehe Mei 28 hadi Juni 2, 1982 itakumbukwa kwa Papa John Poul II, kuwa Papa wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutembelea taifa la Uingereza tangu mgawanyiko wa Reformation 1530, uliosababisha kuundwa kwa Kanisa la Anglikana, yaani Church of England. Mojawapo ya matukio muhimu katika ziara hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haijifunzi na inatumia kikagosi chake Israel na kuigopa Iran bila kujifunza toka Afghanistan na Iraq?

    Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza. Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni...
  17. JamiiForums Tanzania Kibarua/ Nafasi ya kujifunza kazi Wakala wa vipimo

    Kwa majina Naitwa Deo Nicomedi Ninaomba kwa mwenye connection katika ofisi za wakala wa vipimo (weight and measure Agency) au makampuni binafsi ya vipimo na viwango anisaidie wakuu nipate nafasi ya kujifunza kazi yoyote/ au kibarua nitashkuru sana Nina Bach. In Industrial metrology&...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza Mikia Yanga tuna cha kujifunza. Tuache Ushabiki Maandazi

    Sasa sina lawama na Simba. Kwa hili jambo lazima tufikie hatua tutumie akili na ufahamu. Hii nafasi waliyoshika Simba si ya kawaida kwa budget yao. Hawapaswi kuwa hapo. Inashangaza wanawezaje kushika nafasi hiyo. Sisi Yanga tunabaki na majungu, unafiq na wivu. Hapa Simba tuwasifu kwa kweli.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma: Wakenya waje kujifunza kwetu

    Aisee yani siku nikikutana na huyu darasa la saba nita muuliza swali moja tu. Ulishafika Nairobi ukajionea idadi kubwa ya wageni na mataifa makubwa yamewekeza hapo nairob na kenya nzima. Huyu kama ndio mbunge wenu hata uchambuzi hafahamu anachokiongelea ni uchawa tu. Kujiuliza hapa east afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…